Mabadiliko kwenye uke wa Mama pale anapobeba mimba.
Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye uke wa Mama pale anapobeba tu mimba, Mama anapobeba mimba Kuna mabadiliko Katika uke wa Mama kama ifuayavyo.
Mabadiliko yanayotokea kwenye uke wa Mama pale anapobeba Mimba au pengine uitwa kwa kitaalamu Vagina.
1. Homoni ambayo huitwa ostrogen usababisha uke wa Mama kuwa Imara na mishipa ya damu uongezeka kwenye uke wa Mama mjamzito na rangi ya uke wa Mama mjamzito ubadilika na kuwa rangi ya viorate na sehemu ya uke uwa kama inavutika Ili kusababisha mtoto kupita wakati wa kujifungua.hayo yote utokea kwaenye uke wa Mwanamke Ili kumandaa Mwanamke aweze kuwa tayari kujifungua mimba ambayo unaendelea kukua.
2. Kuongezeka kwa majimaji kwenye uke maji haya ni ya kawaida uzalishwa na seli ambazo zimo kwenye uke, haya maji kwa kitaalamu huitwa leucorrhea haya Maji usaidia kuweka uke kwenye hali ya unyevunyevu na usaidia hasa wakati wa kujifungua kwa mama ambapo uzuia mikwaluzo kwa mtoto wakati wa kujifungua kwa hiyo wakati wa ujauzito maji kwenye uke uongezeka kuliko kawaida yaani pale Mama kama Yuko kawaida.
3. Homoni ambayo huitwa ostrogen inachangia katika kulinda Mazingira kwenye uke akiwa na Mimba kwa kuhakikisha kuwa wadudu waharibifu wanashindwa kuishi kwenye uke wakati wa Mimba ambao wanaweza kusababisha uharibifu kwenye uke na kusababisha Magonjwa kama vile kandidiasisi ambayo inaweza kuadhiri na mtoto akiwa tumboni na kuleta madhara makubwa kwa Mama Pia na kwa Mtoto akiwa tumboni au wakati wa kujifungua.
4. Mama akiwa mjamzito uke wake uongezeka kwa kiwango kikubwa kuliko kawaida,hii ni kwa sababu ya maandalizi ya kujifungua kwa sababu kiwango Cha uke wa Mama kinapaswa kulingana na kichwa Cha mtoto Ili mtoto aweze kupita vizuri kwenye uke wa Mama kwa hiyo wakati wa kujifungua wakunga inaewabidi kuangalia uke wa Mama kama mtoto anaweza kupita wakati wa kujifungua.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 ai web app 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
je mwana mke ana weza kubeba mimba kama hayupo kwenye siku zake za hatali ama
Mimba haipatikani kila siku, na pia mimba huingia kwa siku moja na katika muda mmoja. Baada ya mimba kutungwa hakuna tena nafasi ya kutungwa mimba nyingine.
Soma Zaidi...Dalili za tezi dume.
Posti hii inahusu zaidi Dalili ambazo anaweza kuzipata mwenye Ugonjwa wa tezi dume, sio Dalili zote mtu anaweza kuzipata kwa sababu dalili kama hizi zinaweza kujitokeza hata kwa magonjwa mengine.
Soma Zaidi...Magonjwa madogo madogo kwa Mama wajawazito.
Posti hii inahusu zaidi magonjwa madogo madogo kwa akina Mama wajawazito, ni magonjwa ambayo hayawezi kupelekea kupoteza maisha kwa Mama mjamzito, magonjwa haya upotea ikiwa Mama atajifungua.
Soma Zaidi...Mambo ambayo mama anapaswa kujua akiwa mjamzito
Posti hii inahusu zaidi mambo anyopaswa kujua akiwa mjamzito. Ni mambo muhimu ya kuzingatia kwa mama akiwa mjamzito.
Soma Zaidi...Samahani nauliza mjamzito akiwa na presha140/90 Kuna madhara?
Presha ya kupanda hypertension huweza kuzumbuwa watu kwa jinsia zote, na umri wote. Wajawazito pia wamekuwa wakisumbuliwa na presha hii mara kwa mara.
Soma Zaidi...