Mabadiliko ya Matiti kwa Mama mjamzito

Mabadiliko ya Matiti kwa Mama mjamzito

Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye Matiti kwa Mama mjamzito, hali hii utokea pale ambapo mama akibeba mimba Kuna mabadiliko kwenye Matiti kama ifuayavyo.

Mabadiliko yanayotokea kwenye Matiti kwa Mama mjamzito.

1. Kiwango Cha damu kusafiri kwenye Matiti uongezeka,  Ili kuweza kuanzisha kuzalisha kwa Maziwa kiasi Cha kuongezeka kwa kiwango Cha damu kwenye Matiti usaidiwa na homoni mbili ambazo ni progesterone na oestrogen hii ni kwa sababu ya  kuandaliwa kwa kutengenezwa kwa Maziwa.

 

2. Katika wiki ya tatu mpaka ya nne Kuna miwasho fulani inayotokea kwenye sehemu za Matiti hii ni kwa sababu ya kuongeza kwa kiwango Cha damu kwenye Matiti, na wiki ya sita mpaka ya nane Kuna kuongezeka kwa ukubwa wa Matiti  na maumivu kwenye Matiti uanza kujitokeza kwa sababu ya kuongeza kwa kiwango kwa Matiti  na mishipa ya veini uanza kuonekana juu ya ngozi

 

3. Kuanzia wiki ya nane mpaka Kumi na mbili  gland uanza kuzalisha sebum ambazo ufanya chuchu za Matiti kuwa na ulaini kwa ajili ya maandalizi ya kumnyonyesha mtoto, na kwa kipindi kingine chuchu uanza kuwa nyeusi kwa Sababu ya maandalizi ya kumnyonyesha mtoto.

 

4. Katika wiki za mwisho ambazo ni kuanzia wiki ya thelathini na nane na kuendelea majimaji ya njano uanza kujitokeza kwenye Matiti  ambayo baadae mtoto akizaliwa ndiyo maziwa ambayo utumiwa na mtoto, kwa hiyo Iwapo Mama akiona maziwa kama haya hasiogope ajue kuwa ni kawaida kwa Maziwa ya Aina hii kutokea.

 

5. Matiti kuvimba kuliko kawaida

Kwa Mama mjamzito Matiti uongezeka kuliko kawaida kwa sababu ya matengenezo ya maziwa na kwa sababu ya kuongezeka kwa pressure kwenye Matiti, na pia kuongezeka kwa virutubisho kwenye Matiti kwa ajili ya mtoto.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 9041

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Dua za Mitume na Manabii     👉4 Simulizi za Hadithi Audio     👉5 ai web app     👉6 Kitabu cha Afya    

Post zinazofanana:

Chanzo cha tezidume, dalili zake na tiba zake.

Post hii inakwenda kukufunza mambo mengi kuhusu tezi dume kama chanzo, dalili, matibabu, njia za kujikinga na mambo hatari yanayoweza kukusababishia kupata tezi dume.

Soma Zaidi...
Siku za kupata mimba

Nitakujulisha siku ya kupata mimba na sifa zake, na namna ya kuweza kuitafuta

Soma Zaidi...
Malengo kwa Akina Mama na wachumba kabla ya kubeba mimba.

Posti hii inahusu zaidi malengo kwa akina Mama na wachumba kabla ya kubeba mimba, ni malengo ambayo yametolewa ili kuweza kusaidia mtoto azaliwe vizuri na mambo mengine kama tutakavyoona.

Soma Zaidi...
Tabia za Ute wa siku za hatari kupata mimba au ovulation

Posti hii inahusu zaidi tabia mbalimbali za Ute wa ovulation kwa sababu Ute huu huwa tofauti na Ute mwingine kwa sababu ya kuwepo kwa tabia zake za kipekee kama tutakavyoona.

Soma Zaidi...