Posti hii inahusu zaidi madhara ya chakula kushindwa kumengenywa vizuri tumboni, haya ni madhara ambayo utokea kwa sababu ya chakula kushindwa kumengenywa vizuri tumboni.
1. Mzunguko wa damu kuharibika na kuwa mdogo.
Kwa kawaida ili chakula kiweze kusambaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine na kufanya kazi mbalimbali kwenye mwili utokana na kiwango cha kusagia kwa chakula tumboni na pia damu uweza kusafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa sababu ya kuwepo kwa mmeng'enyo mzuri wa chakula.
2. Maumivu kwenye kiuno na mgongo.
Kwa sababu chakula kinapaswa kusagwa vizuri kabisa na kufanya kazi mbalimbali kwenye mwili ni vizuri kabisa na pia kusipokuwepo hali ya chakula kusagwa usababisha maumivu ya mgongo na kiuno.
3. Miguu au mikono kufa ganzi.
Kwa kawaida kuna kipindi ambacho miguu na mikono ufa ganzi ila watu wengi huwa hawaelewi ni kwa sababu gani pengine ni tatizo la chakula kutosagwa vizuri tumboni.
4. Kuchoka haraka na kwa mara kwa mara.
Kwa sababu kila kitu mwilini kinapaswa kiwe sawa kabisa hasa usagaji wa vyakula mwilini kwa hiyo usagaji wa chakula isipokuwa vizuri usababisha mtu kuchoka mara kwa mara.
5. Kukosa hamu ya kula chakula.
Kwa kawaida ili chakula kiweze kuliwa vizuri ni lazima kuwepo hali ya hamu ya kuwa chakula ni lazima kuwepo kwa hamu ya chakula kwa kufanya hivyo ni lazima kuwepo kwa hamu ya kula chakula.
6. Macho kushindwa kuona vizuri.
Kuna wakati mwingine macho yanashindwa kuona vizuri ni kwa sababu ya chakula kushindwa kumengenywa vizuri kwa sababu baadhi ya virutubisho ukosa na macho yenyewe ushindwa kuona vizuri.
7. Mapigo ya moyo kwenda kwa haraka.
Kwa kawaida kama kuna shida kwenye mmeng'enyo wa chakula kuna vyakula mbalimbali ukosa ambavyo usababisha mapigo ya moyo kwenda kwa mbio.
8. Maumivu ya kichwa .
Kwa sababu ya kuwepo kwa mzunguko mbaya wa damu usababisha maumivu makali ya kichwa kwa sababu ya kuwepo kwa baadhi ya vyakula ambavyo usababisha maumivu makali ya kichwa.
9. Kwa hiyo ni vizuri kabisa kuweza kujua tatizo hili na kulifanyia kazi kwa sababu likizidi sana usababisha matatizo makubwa kama tulivyoona yaona mbeleni.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu njia za kumlisha Mgonjwa ambaye hawezi kujilisha wenyewe, hali hii uwa inawapata wagonjwa wale ambao hawawezi kujilisha wenyewe tunaweza kuwalisha kwa njia zifuatazo.
Soma Zaidi...Kunywa soda ama dawa kwenyechupa zakioo ambayo ina ufa ama mipasuko ni hatari. Ni kwa sababu huwezijuwa huwenda kipande kikaingia mdomoni na umangimeza. Sasa nini ufanye endapo umeshakula?
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea namna ambavyo mwili unapambana na maradhi
Soma Zaidi...Posti inahusu huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu.huduma ya kwanza Ni kumsaidia mtu alie pata jeraha au ajali kabla hajamwona dactari au kufika hospitalinia.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujikinga na kisukari
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi hatari zilizopo kwa mtu mwenye uzito mkubwa,kwa sababu ya kuwepo kwa uzito mkubwa na pia unene usio wa kawaida usababisha mtu kuwa na matatizo mbalimbali hasa saratani za kila sehemu kama tutakavyoona.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya roghage
Soma Zaidi...Mtoto mdogo ni mtoto chini ya miaka mitano, yaan kuanzia pale anapozaliwa mpaka anapafikisha miaka mitano
Soma Zaidi...