Madhara ya fangasi ukeni.
Posti hii inahusu zaidi madhara ya fangasi ukeni, madhara mbalimbali yanayoweza kutokea iwapo mtu hakutibiwa fangasi mapema.
Madhara ya fangasi ukeni
1.Mimba kuharibika
Hii utokea pale ambapo maambukizi yameenea sehemu mbalimbali za via vya uzazi na. Kuharibu sahemu ambapo mtoto anajishiza na atimaye mimba ukosa sehemu ya kujishikisha na hatimaye kuaribika kwa mimba kabla ya wakati wake
2.fangasi zisipotibiwa usababisha Kansa ya mlango wa kizazi, hali hii utokea pale ambapo maambukizi kwenye uke yanazidi kuwa makubwa na hatimaye kuaribu sehemu mbalimbali za via vya uzazi na kumpelekea kupata Kansa ya mlango wa kizazi au Kansa kwenye via vya uzazi.
3. Kupata Homa na kizunguzungu.
Hali hii utokea kwa sababu ya maambukizi kuenea sehemu mbalimbali za mwili na kusababisha Homa na kizunguzungu kwa mtu Mwenye maambukizi,kwa sababu ya kubadilika kwa hali ya kawaida ya mwili na kuaribu kwa sehemu mbalimbali za mwili na na Maambukizi usababisha kubadilika kwa joto la mwili pia.
4.Kuongezeka kwa miwasho.
Madhara ya fangasi ukeni usababisha kuwepo kwa miwasho kwenye sehemu za Siri, ambapo mwathirika ujikuna kila wakati na pengine kusababisha hali ya kutokuwa na amani, hali hii usababisha kuenea kwa ugonjwa wa fangasi ukeni kwa sababu mwenye maambukizi kama anajikuna na anaagusa vitu vya wengine anaweza kusambaza maambukizi kwa waliomzunguka.
5.Maumivu makali wakati wa kukojoa
Hali hii utokea kwa mtu Mwenye tatizo la fangasi ukeni, pale ambapo maambukizi yameenea sehemu mbalimbali za via vya uzazi, usababisha michubuko kwa hiyo mtu akikojoa na mkojo ukagusa sehemu ya michubuko maumivu makali utokea na kusababisha kukosa raha na amani kwa mgonjwa.
6, kwa hiyo tunaona kuwa madhara ya fangasi ukeni ni makubwa na usababisha madhara makubwa kwa wagonjwa na pengine ugumba kwa hiyo tunapaswa kutibu ugonjwa huu kwa maana unatibika na dawa hospitalin zipo na zinatibu ugonjwa huu tusiwatenge wale waliopata na ugonjwa huu.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Dalili za PID
Posti hii inahusu zaidi dalili za PID maana yake ni maambukizi kwenye pelvic kwa kitaalamu huitwa pelvic infection disease, ni ugonjwa unaoshambulia sana wanawake na wasichana
Soma Zaidi...Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua.
Posti hii inaelezea kiufupi kabisa kuhusiana na Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua.
Soma Zaidi...Sorry kunamchumba wangu katokwa na majimaji meupe na tumbo linamuuma BAADA mda likaacha nidalili za Nini au.nikawaida tu
Majimaji msule sehemu za siriyanaweza kuashiria mambo mengi ka mwanamke. Ikiwemo ujauzitina maradhi. Pia yanaweza kuashiria kuwa mwanamke unaweza kuoatavujauzito amalaa.
Soma Zaidi...Yajue madhara ya kutoa mimba mara Kwa mara
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa wale wenye tabia ya kutoa mimba mara Kwa mara .
Soma Zaidi...Maumivu ya uume baada ya tendo la ndoa
Utajifunza sababu za kuweo kwa maumivu ya uume wbaada ya tendo la ndoa na wakati wa tendo la ndoa.
Soma Zaidi...Dalili za Maambukizi na Uvimbe katika mirija ya uzazi
Posti hii inazungumzia kuhusiana na maambukizi na uvimbe katika mirija ya uzazi. Mara nyingi hutumiwa sawa na ugonjwa wa uvimbe kwenye fupa nyonga (PID), ingawa PID haina ufafanuzi sahihi na inaweza kurejelea magonjwa kadhaa ya njia ya juu ya uzazi
Soma Zaidi...