Madhara ya kunywa pombe kiafya
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kunywa pombe kiafya, ni madhara ambayo utokea kwa watu wanaokumywa pombe kwa kupita kiasi kwa hiyo wanapaswa kupunguza kunywa pombe baada ya kujua madhara yake.
Madhara ya kunywa pombe kiafya.
1. Pombe iliyopita kiasi Usababisha matatizo kwenye moyo kwa sababu udhoofisha mishipa na mishipa kushindwa kusukuma damu kwa hiyo wa nywaji wa pombe wanapaswa kupunguza ili kuepuka madhara ya magonjwa wa moyo.
2. Matatizo ya ini .
Kwa sababu ya kuwepo kwa sumu inayosababishwa na unywaji wa pombe Usababisha sumu kubwa mwilini ambayo uweza kushambulia ini na kusababisha Magonjwa ya ini kwa hiyo wanywaji wa pombe kupita kiasi wanapaswa kujua hili.
3. Watumiaji wa pombe wako kwenye hatari ya kupata tatizo la shinikizo la damu kwa sababu ya kulegea kwa mishipa inayosukuma damu.
4. Pia unywaji wa pombe unasababisha kuwepo kwa ugonjwa wa Anemia kwa sababu seli kushindwa kusafilisha damu.
5. Pia matatizo ya unywaji wa pombe Usababisha kuwepo kwa ugonjwa wa saratani kwa sababu ya kuwepo kwa sumu nyingi mwilini.
6. Pia matatizo ya pombe Usababisha kusinyaa kwa ubongo kwa sababu ubongo ushindwa kufanya kazi vizuri kwa hiyo tunapaswa kuacha kutumia pombe.
7. Kwa sababu ya matumizi ya pombe kunaweza kuwepo na msongo wa mawazo kwa sababu ya kuaribika na kemikali zinazosafirisha damu mpaka kwenye ubongo.
8. Kwa kujua adhari za pombe tunapaswa kuacha kutumia pombe ili kuweza kuepuka madhara makubwa ambayo yanaweza kutokea katika maisha yetu.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 web hosting 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Madhara ya kutumia dawa bila ushauri wa kitaalamu.
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutumia dawa bila kupata ushauri wa kitaalamu, madhara haya uwapata watu wengi kwa sababu hawajui taratibu za matumizi ya dawa.
Soma Zaidi...Kwanini mtu alie ng'atwa na nyoka hairuhusiwi kumpa pombe?
Swali languKwanini mtu alie ng'atwa na nyoka hairuhusiwi kumpa pombe?
Soma Zaidi...huduma ya kwanza kwa mtu aliyeingiwa na uchafu sikioni
Post hii inahusu huduma ya kwanza kwa mtu aliyeingiwa na uchafu au kitu chochote sikioni. Sikio ni mojawapo ya milango ya fahamu ambapo hutumika kusikia, Kuna wakati vitu uingia ndani yake na kuleta madhara
Soma Zaidi...Zijue kazi za Figo mwilini
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa Figo mwilini, Figo ni ogani ambayo kazi yake ni kuchuja sumu mwilini.
Soma Zaidi...Mkojo usio wa kawaida huwa na vitu vifuatavyo.
Posti hii inahusu zaidi Aina ya mkojo usiokuwaa wa kawaida uwa na vitu vifuatavyo, ukiona dalili kama hizo wahi mapema hospitalini Ili upatiwe huduma.
Soma Zaidi...