MADHARA YA KUPUNGUA KWA HOMONI YA PROJESTRON


image


Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea ikiwa homoni ya projestron ikipungua mwilini na pia kuweza kutambua dalili za kupungua kwa homoni hii ya progesterone.


Madhara ya kupungua kwa homoni ya projestron

1. Upungufu wa homoni ya projestron usababisha mvurugiko kwenye mfumo wa mwili kwa wanawake wa rika zote , vyanzo vya kufanya homoni hii kupungua ninvingi ila mojawapo ni mfumo wa ukaji vyakula ambapo unakuta mtu anakula vyakula vya aina Moja kwa mfano mtu anatumia chips tu kwa mda mrefu na vyakula kama hivyo.

 

2. Kwa kawaida tunapaswa kutumia vyakula vya mlo kamili ikiwapo pamoja na mboga za majani na matunda, kitu kingine kinachosababisha  upungufu wa homoni hii ni pamoja na matumizi ya uzazi wa mpango kwa sababu unakuta Mama anatumia njia hii inashindikana na anatumia nyingine ikiambatana na kutokwa na damu, hali hii inasababisha kupungua kwa kiwango cha homoni ya projestron.

 

3. Kwenye matumizi ya uzazi wa mpango unakuta pengine homoni hii inaongezeka kwa kupita kiasi hali inayosababisha matatizo pia, kwa sababu unakuta mama anatumia njia ya uzazi wa mpango na njia hiyo Ina homoni hiyo hiyo ambayo imo kwenye mwili wa Mama kwa hiyo unakuta homoni inakuwa nyingi mwilini na kusababisha madhara mbalimbali kwenye mwili.

 

4. Kwa hiyo tunapaswa kula chakula chenye kiwango kidogo cha mafuta, maji kwa wingi, chumvi kidogo na matumizi makubwa ya mboga mbona za majani na matunda , na pia tuwe makini wakati wa kuchagua njia ya uzazi wa mpango au ikishindikina ni vizuri kutumia njia za asili za uzazi wa mpango Ili kuweza kuepuka maambukizi.

 

5. Kwa hiyo aina hii ya homoni inapaswa kuwa na uwiano kabisa kwenye mwili kwa sababu ikiwa ndogo matatizo ya kupata mtoto yanaweza kutokea kwa sababu ya kuwepo kwa kiwango kidogo cha projestron 



Sponsored Posts


  πŸ‘‰    1 Maktaba ya vitabu       πŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       πŸ‘‰    3 Mafunzo ya php       πŸ‘‰    4 Mafunzo ya html kwa kiswahili       πŸ‘‰    5 Madrasa kiganjani       πŸ‘‰    6 Jifunze fiqh    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Jinsi mimba inavyotungwa na namna ambavyo jinsia ya mtoto inavyotokea
Posti hii hasa inahusu kasoro ,utatuzi,na jinsi ya kutunga mimba kwa upande wa mwanamke na mwanaumeΒ  .itatupelekea jinsi ya kuangalia kasoro na jinsi ya kutatua hizo kasoro katika jamii zetu. Soma Zaidi...

image Kutokwa maji yan seminal swhemu za siri kwa mwanamke nidalili ya ugojwa gan?
Kutokwa Majimaji sehemu za siri kwa mwanamke sio jambo la kushangaza na kuhisivunaumwa. Majimajivhaya ndio huboresha afya ya uzazi kwa kusafisha na kulinda via vya uzazi. Lakini majimajivhaya yakiwa mengi, ama yanawasha ama yanaharufu haa ndipo kwenye tatizo. Soma Zaidi...

image Mambo ya kuzingatia kwa mtoto mara tu anapozaliwa
Posti hii inahusu zaidi mambo ya kuzingatia kwa mtoto pindi anapozaliwa,tunajua wazi kuwa mtoto anapoanza kutokeza kichwa tu ndio mwanzo wa kuanza kumtunza mtoto na kuhakikisha anafanyiwa huduma zote za muhimu na zinazohitajika. Soma Zaidi...

image Dalili za uvimbe kwenye kizazi
Posti hii inahusu zaidi Dalili za uvimbe kwenye kizazi,hizi ni Dalili ambazo ujitokeza kwa akina mama ambao wana uvimbe kwenye kizazi kwa hiyo endapo mama ameona Dalili kama hizi anapaswa kuwahi hospitali mara moja kwa uangalizi zaidi. Soma Zaidi...

image Sabau za maumivu ya uume baada ya tendo la ndoa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya uume baada ya tendo la ndoa Soma Zaidi...

image Je dalili ya kuuma tumbo huanza baada ya wiki ngapi Toka mwanamke apate ujauzito?
Maumivu ya tumbo ni moja katika dalili za ujauzito. Maumivu wanawake wengi hushindwa kujuwa kuwa ni ujauzito ama laa. Na hii ni kwa sababu kwa wanawake wengi maumivu ya tumbo ama changu ni jalivya kawaida kwao. Soma Zaidi...

image Niharisha siku ya pili baada ya tendo. Jana hadi leo sijapata choo inawezakua nimeshika ujauzito?
Hivi unadhani kuharisha ni katika dalili za mimba, vipi kuhusu kutopata choo pia inaweza kuwa ni ujauzito? Soma Zaidi...

image Sababu za kupasuka kwa mfuko wa kizazi
Posti hii inahusu zaidi sababu za kupasuka kwa mfuko wa uzazi hasa mama anapokalibia kujifungua. Soma Zaidi...

image Siku za kupata mimba
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu siku za kupata mimba Soma Zaidi...

image Je matiti kujaa na chuchu kuuma inakua ni dalili za hedhi?
Kuunda na kujaa kwa matiti ni miongoni mwa dalili za ujauzito lakini pia ni dalili za kukaribia hedhi kwa baadhi ya wanawake. Posti hii itakwenda kufafanuabutofauti wa dalili hizi na kipi ni sahihibkatibya hedhi ama ujauzito. Soma Zaidi...