MADHARA YA KUTOTIBU MAAMBUKIZI KWENYE MIFUPA.


image


Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu Maambukizi kwenye mifupa,ni madhara ambayo utokea endapo Maambukizi kwenye mifupa yasipotibiwa kwa mda wake.


Madhara ya kutotibu Maambukizi kwenye mifupa.

1. Kuharibika na kusagika kabisa kwa mifupa.

Endapo Maambukizi kwenye mifupa hayataweza kutibiwa mapema kuna hatari ya kuaribika na kusagika kabisa kwa mifupa  hali hii  usababisha ulemavu wa kudumu kwa mgonjwa, hasa hasa ni hatari kwa watoto wanaweza kushindwa kutembea na hatimaye maisha yao yakawa ni kulala kwa mda wote.

 

2. Maambukizi kwenye mifupa yanaweza kusababisha kansa ya mifupa.

Kwa sababu ya kuwepo kwa bakteria ambao usababisha Mashambulizi na hali ikiongezeka bila ya kutibiwa usababisha kansa ya mifupa, ambayo uweza kuleta matokeo hasi ambayo ni pamoja na kupoteza maisha kwa mgonjwa, kwa hiyo tunapaswa kutibu mara moja ugoy huu ikiwa umegundulika mapema.

 

3. Maambukizi kwenye mifupa usababisha kuoza kwa mifupa, hali hii utokea kwa sababu ya Maambukizi ya mda mrefu ya bakteria ambapo bakteria ushambulia  hasa mifupa na kusababisha maji maji ambayo Yamo kwenye mifupa kuisha au kubaki kidogo na hatimaye mifupa kuoza, hali hii umfanya mgonjwa kushinda amelala kwenye sehemu moja tu na kushindwa kufanya shughuli zake za kila siku.

 

4. Kutokea kwa ulemavu wa kudumu.

Kwa sababu ya Maambukizi kwenye mifupa kunakuwepo na ulemavu wa kudumu hali hii utokea kwa sababu Maambukizi yameshambulia sehemu moja na nyingine kidogo kwa hiyo mgonjwa utembelea sehemu ambayo ina ka uhafadhari na sehemu nyingine inaweza kukosa msaada ndo maana utakuta mgonjwa kushika fimbo au kitu chochote cha kumsaidia kutembea.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    3 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    4 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    5 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    6 Maktaba ya vitabu    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Dalili za PID
Posti hii inahusu zaidi dalili za PID maana yake ni maambukizi kwenye pelvic kwa kitaalamu huitwa pelvic infection disease, ni ugonjwa unaoshambulia sana wanawake na wasichana Soma Zaidi...

image Namna ya kusaidia mwili kupambana na maradhi
Somo hili linakwenda kukuletea namna ambavyo mwili unapambana na maradhi Soma Zaidi...

image Uvimbe kwenye utandu laini uliopo tumboni (peritonitis)
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Uvimbe au mashambulizi ya bacteria kwenye utando laini uliopo tumboni ambao kitaalamu hujulikana Kama peritonitis. Soma Zaidi...

image Sababu za mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu.
Post hii inahusu zaidi mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu na kwa kitaalamu huitwa retention of urine. Soma Zaidi...

image Dalili za UTI upande wa wanawake
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za UTI upande wa wanawake Soma Zaidi...

image Dalili za Ugonjwa wa kula kupindukia
Ugonjwa wa kula kupindukia ni ugonjwa mbaya wa ulaji ambapo mara kwa mara unatumia kiasi kikubwa cha chakula na kuhisi huwezi kuacha kula. Soma Zaidi...

image Nguo zinazovaliwa kwenye chumba cha upasuaji na kazi zake
Posti hii inahusu zaidi nguo za kuvaliwa kwenye chumba cha upasuaji na kazi zake, hizi ni nguo ambazo wahudumu wa afya wanapaswa kuzivaa wakati wa upasuaji kwa ajili ya kuwakinga na Maambukizi kati ya wahudumu wa afya na wagonjwa pia Soma Zaidi...

image Vyakula vya madini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya madini mwilini Soma Zaidi...

image Sababu za maumivu ya tumbo kitovuni
Somo hili linakwenda kukuletea sababu za maumivu ya tumbo kitovu i Soma Zaidi...

image Mama mjamzito anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa?
Mama mjamzito anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa mpaka siku ya kujifungua Kama mume wake pamoja na yeye akiwa Hana maambukizi ya zinaa na Kama akiona dalili zozote zile za hatari ndio hataruhusiwa kushiriki tendo la ndoa. Soma Zaidi...