image

Madhara ya kutotibu Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo

Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo, ni madhara ambayo yanaweza kutokea iwapo maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo hayatatibiwa kwa wakati.

Athari za kutotibu Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo.

1.Kuvuja kwa damu kwenye tumbo na utumbo mdogo, hali hii utokea kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo ambayo usababisha kuvuja damu sehemu ambazo zimeathirika kwa hiyo tunapaswa kutibu Magonjwa haya Mara moja.

 

2.kupoteza maji mwilini .

Kama Magonjwa ya Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo hayatatibiwa yatasababisha mgonjwa kuendelea kutapika na kuharisha hatimaye kuishiwa maji mwilini na tunajua umuhimu wa maji mwilini na hali hii ikitokea kwa mgonjwa inaweza kuleta madhara makubwa zaidi.

 

3. Kutokuwepo kwa madini yanayohitajika mwilini kwa sababu ya kuharisha na kutapika kwa mfano sodium itaongezeka na potassium itapungua hali huu haipaswi juwa hivyo bali kiwango cha sodium linapaswa juwa sawa na kiwango cha potassium kinapaswa kuwa kwenye kawaida yake.

 

4. Mgonjwa pia anaweza kuzimia.

Kwa sababu ya kuwepo hali ya kuharisha na kutapika maji yanaisha mwilini kwa hiyo Mgonjwa anaweza kuzimia kwa sababu ya kuishiwa na maji mwilini.

 

5. Kwa hiyo tunajua kabisa Maambukizi ya kwenye tumbo Usababishwa na bakteria au pengine na virusi ambao usababisha kuharisha na kutapika pamoja na maumivu ya tumbo kwa hiyo tunapaswa kuwapeleka wagonjwa wetu hospitali ili waweze kupata huduma kwa sababu kuharisha na kutapika umaliza maji mwilini.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1150


Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Ugonjwa wa bakteria unaoambukizwa na kupe.
Ugonjwa wa bakteria unaoambukizwa na kupe ambao husababisha dalili kama za mafua. Dalili na ishara za Ugonjwa huu ni kati ya kuumwa na mwili kidogo hadi homa kali na kwa kawaida huonekana ndani ya wiki moja au mbili baada ya kuumwa na kupe. Njia bora ya Soma Zaidi...

Magonjwa ya kuambukiza.
Posti hii inahusu zaidi Magonjwa ya kuambukiza, ni magonjwa ambayo yanaweza kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na kuweza kusababisha madhara yale yale kwa mtu aliyeambukizwa au anayeambukiza kwa hiyo Maambukizi yanaweza kuwa ya moja kwa moja au yasi Soma Zaidi...

Mbinu za kupunguza Magonjwa ya kuambukiza.
Posti hii inahusu zaidi mbinu mbalimbali ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kupunguza kiwango cha kuwepo kwa magonjwa ya kuambukiza, kwa hiyo zifuatazo ni mbinu ambazo zinapaswa kutumika ili kupunguza kiwango cha magonjwa ya kuambukiza. Soma Zaidi...

Walio kwenye hatari ya kupata UTI
Posti hii inahusu zaidi watu walio kwenye hatari ya kupata UTI, ni watu ambao wako kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa UTI kwa sababu ya mazingira mbalimbali kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

Njia za kupambana na kuzuia gonorrhea
Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya njia za kupambana na kuzuia gonorrhea Soma Zaidi...

Jinsi ya kujikinga na mafua (common cold)
Posti hii inazungumzia dalili na namna ya kujikinga tusipate mafua .mafua kwa jina lingine hujulikana Kama baridi ya kawaida (common cold).baridi ya kawaida husababishwa na virusi kwenye pua na hutoa makamasi. Soma Zaidi...

Homa ya manjano, dalili za homa ya manjano na namna ya kujikinga na homa ya manjano
HOMA YA MANJANO (yellow fever)Homa ya manjano ni maradhi yanayosababishwa na virusi na husambazwa na mbu. Soma Zaidi...

Dalili za kifua kikuu (tuberculosis)
Kifua kikuu ni ugonjwa sugu wa kuambukiza na anuwai ya magonjwa ya kiafya yanayosababishwa na Mycobacterium tuberculosis complex. Kwa binadamu sababu ya kawaida ni Mycobacterium tuberculosis. Soma Zaidi...

Dalili za mkojo mchafu na rangi za mkojo na mkojo mchafu
Hapautajifunza rangi kuu za mkojo na dalili zako kiafya, mkojo mchafu na dalili zake Soma Zaidi...

Dalili za ukimwi, unavyoenezwa na njia za kujikinga
Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini.unasababishwa na virusi ambavyo hutokea kwa mtu mwingine kwa njia mbalimbali Soma Zaidi...

Dalili za gonorrhea - gonoria
Jifunze dalili za gonorrhea na namna inavyoambukiza, zipi athari za gonori kwa wanawae na wanaume Soma Zaidi...

IJUWE MINYOO, SABABU ZAKE, ATHARI ZA MINYOO, MATIBABU YAKE NA KUPAMBANA KWAKE
Soma Zaidi...