image

Madhara ya kutotibu ngiri.

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea pale ambapo Ugonjwa wa ngiri unaposhindwa kutibiwa mapema.

Madhara ya kutotibu ugonjwa wa ngiri.

1. Kwanza kabisa tusipotibu ugonjwa wa ngiri tunaweza kusababisha kuwepo kwa Maambukizi kwa sababu kuna maji maji yanayotoka kwenye sehemu yenye tatizo na kuingia kwenye sehemu isiyokuwa na tatizo hali ambayo Usababisha Maambukizi kwenye sehemu mbalimbali za mwili.

 

2. Kuwepo kwa uvimbe unaobadilika badilika rangi.

Kwa sababu ya kutotibu ugonjwa huu wa ngiri na uvimbe utokea ambao ubadilika rangi kwa hiyo uvimbe huo na husipotibiwa unaweza kusababisha kuwepo kwa magonjwa ya kansa na kusababisha hali ya mgonjwa kuwa mbaya zaidi, kwa hiyo ni vizuri kabisa kuweza kutibu Ugonjwa huu mara moja pale inapotokea ili kuepuka kuwepo kwa magonjwa makubwa 

 

3. Kuwepo kwa maumivu makali na ya kila mara.

Kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi kwenye sehemu mbalimbali za mwili hali hii usababisha kuwepo kwa maumivu makali kwenye kitovu, kwenye via vya uzazi na pia kwenye kifua, na kwenye kifua usababisha upumuaji  kuwa wa shida zaidi, kwa hiyo mara nyingi utasikia wanaume wana lalamika kuhusu maumivu makali ambayo wana yasikia.na pia watoto wanakaa wanalia kwa sababu ya Maumivu makali kwenye kitovu.

 

4. Kuwepo hali ya kichefuchefu na kutapika.

Kwa kawaida tunajua wazi kuwa, ngiri usababishwa na utumbo kuhamia sehemu mbalimbali za mwili kama vile kwenye kifua, via vya uzazi, kitovu na sehemu mbalimbali kwa kufanya hivyo ufanya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula nao pia kubadilika hali ambayo Usababisha kichefu chefu na kutapika, mtoto akitapika sana usababisha kupungua kwa maji mwilini.

 

5. Kuwepo kwa homa kali.

Kwa sababu ya kuwepo kwa mabadiliko ya mwili pamoja na maumivu homa nayo inawezekana kutokea ikiwa kali, kama ni kwa mtoto usababisha degedege kwa watoto wadogo na kuishiwa na maji mwilini.

 

6. Mgonjwa kuhisi kwenda chooni ila akifika huko utoa gesi tu, kwa hiyo na mmeng'enyo wa chakula nao uwa na matatizo hali ambayo upelekea mgonjwa kutoa gesi badala ya kinyesi.

 





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2039


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

MARADHI MENGINE 10 YANAYOTOKANA NA MBU ( matende, ngirimaji, homa ya manjano, n.k
Tofauti na maradhi yaliyotajwa hapo juu pia tafiti za kisayansi zimethibitisha kuwepo kwa maradhi mengine hatari yanayosambazwa na mbu, kama vile ngirimaji pamoja na matende. Soma Zaidi...

Dalili za awali za ugonjwa wa kizukari
ugonjwa wa kisukari ni moja katika magonjwa hatari sana, na mpaka sasa bado hauna matibabu ya kuponya moja kwa moja Soma Zaidi...

Njia za kupunguza makali ya pressure au shinikizo la damu
Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kupunguza ugonjwa wa pressure au shinikizo la damu kwa waliokwisha kupata wanaweza kupunguza na kwa wake ambao hawajapata ni nzuri inawasaidia kuepuka hatari ya kupata ppresha. Soma Zaidi...

Matatozo katika choo kidogo, maradhi ya figo na dalili zake pia namna ya kujikinga na madhradhi ya figo
MATATIZO YA CHOO KIDOGO NA FIGOFigo ni kiungo muhimu sana katika uchujaji wa mkojo, na afya ya mfumo wa utoaji taka mwili. Soma Zaidi...

nikiamka asubuhi huwa nakojoa mkojo mchafu sana halafu najiskia vibaya Sana na mwili wote unaniuma je tatizo litakua ni nin
Soma Zaidi...

Ni Nini husababisha kukosa choo? (Constipation)
Posti hii inazungumzia kuhusiana na sababu zinazopelekea kukosa choo ,yaani kinyesi kuwa kigumu au kukosa kabisa choo. Soma Zaidi...

FAIDA ZA KIAFYA ZA MINYOO: kupunguza aleji, kuchochea utungaji wa mimba, kupona kwa vidonda vya ndani
FAIDA ZA KIAFYA ZA MINYOO Wakati mwingine kuwa na aina flani ya minyoo kunaweza kuwa na faida katika afya. Soma Zaidi...

Namna ya kufanya usafi wa sikio
Post hii inahusu zaidi namna ya kufanya usafi wa sikio, sikio ni mojawapo ya ogani ambayo usaidia kusikia,kwa hiyo sikio linapaswa kusafishwa kwa uangalifu kama tutakavyoona hapo chini. Soma Zaidi...

Namna ya kujikinga na VVU/UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza namna mbalimbali za kujikinga na VVU/UKIMWI Soma Zaidi...

vidonda vya tumbo, dalili zake, chanzo chake na tiba yake
Makala hii itakwenda kukupa elimu juu ya vidonda vya tumbo, nini hasa chanzo chake, vipi vinatokea ni zipi dalili zake, ni zipi njia za kujilinda dhidi ya vidonda vya tumbo. Pia tutaangalia matibabu ya kutibi vidonda vya tumbo. Soma Zaidi...

Ugonjwa wa Dondakoo na namna unavyoweza kuenea
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa Dondakoo na namna unavyoweza kuenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine. Soma Zaidi...

Dalili za za kuwepo kwa maambukizi chini ya kitovu
Posti hii inahusu zaidi dalili za kuonyesha kuwa Kuna maambukizi kwenye kitovu hasa hasa chini ya kitovu. Soma Zaidi...