Madhara ya kutotibu Ugonjwa wa homa ya utu wa mgongo

Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu homa ya uti wa mgongo, kwa kuwa ugonjwa huu mara nyingi uathiri sehemu za kwenye ubongo kuna madhara ambayo yanaweza kutokea endapo Ugonjwa huu haujatibiwa mapema.

Madhara ya kutotibu Ugonjwa wa homa ya uti wa mgongo.

1. Kwanza kabisa tunapaswa kujua kwamba Ugonjwa huu ni matokeo ya kushambuliwa kwa layer za spinal cord na ubongo ambazo Usababisha kuongezeka kwa kiwango kikubwa cha maji maji ambayo yapo kwenye ubongo na sehemu ya spinal cord, hali hii usababisha matatizo mbalimbali kwenye mfumo mzima wa ubongo.

 

2. Pia kwa kuwa Ugonjwa huu usambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia rahisi ambayo ni pamoja na kukaribiana kwa kugusa maji maji yoyote kutoka kwa mgonjwa na utampata mtu endapo na yeye atakuwa na Mgonjwa karibu kwa yugonjwa huu husipotibiwa mapema uweza kusababisha madhara kwa watu wanaomtunza Mgonjwa hasa hasa kama hawana maarifa kuhusu Ugonjwa huo 

 

3. Pia kama Ugonjwa huu hautatibiwa mapema usababisha kuharibika kwa mifumo mingine mwilini ambayo kwa kitaalamu huitwa cerebral infarction, kwa hiyo hasa hasa Tatizo la usafirishaji wa damu kutoka kwenye moyo kwenda kwenye sehemu nyingine za mwili uleta shida kwa hiyo hali hii usababisha damu kushindwa kusafirishwa kwenye ubongo.

 

4. Vilevile kunakuwepo na matatizo katika sehemu mbalimbali za nje ya mishipa ya moyo ambayo kwa kitaalamu huitwa endocarditis, ni Maambukizi kwenye sehemu za mishipa ya moyo.

 

5. Kwa hiyo baada ya kujua matatizo hayo yote tunapaswa kuwa makini na Ugonjwa huu kuhakikisha kwamba tunatibu mapema kama imegunduliwa mapema ili kuweza kuepuka matatizo na madhara ambayo yanaweza kutokea yakawa mabaya zaidi.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/06/07/Tuesday - 07:01:23 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 833


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-