Madhara ya kutumia vidonge kwa akina dada vya uzazi wa mpango
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa sababu ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango kwa akina dada.
Madhara ya kutumia vidonge kwa akina dada.
1. Kwa kawaida jinsi tunavyoelewa ni kwamba watu wenye familia ndio wenye haki ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango ila Kuna kipindi na akina dada wanajiingiza kwenye huduma hii mapema kabisa na kwa mda mrefu bila ya kuwa na mda wa kupata watoto hivi karibuni kwa hiyo akina dada tunapenda kuwapatia baadhi ya madhara yanayoweza kutokea kama ifuatavyo.
2. Kuharibu mfuko wa kizazi nakuwepo kwa uvimbe.
Kwa sababu ya matumizi ya mara Kwa mara yanaweza kusababisha mfuko wa kizazi kuharibika na baadae uvimbe hali inayosababisha mimba kukosa hapo baadae.
3 kuongezeka kwa uzito usio wa kawaida.
Kwa sababu ya meongezeko wa homoni hali ambayo usababisha Wadada kuwa na unene usio wa kawaida .
4. Maumivu ya kichwa ya mara Kwa mara.
Kwa sababu ya kubadilika kwa hali ya mwili usababisha kuwepo kwa maumivu ya kichwa ya mara Kwa mara.
5. Pengine kutopata hedhi kwa mda mrefu.
Kuna kipindi matumizi yakiwa ya mda mrefu na hedhi pia ukoma hali inayosababisha mrundikano wa uchafu mwilini na kusababisha magonjwa yasiyotarajiwa.
6. Kubadilika kwa hedhi.
Kuna wakati mwingine hedhi uja zaidi ya mara Moja kwa mwezi au kutumia mda mrefu na nzito au nyepesi hali inayosababisha upungufu wa damu mwilini.
7. Kuharibika kwa ini.
Kwa kawaida ini uchuja sumu na dawa na uchafu mwingine kwa hiyo inn likichuja dawa kwa mda mrefu usababisha kuchoka na kuharibika.
8 kupooza upande mmoja wa mwili kwa sababu ya kuwepo kwa Sumu nyingi mwilini hali I ayosababisha damu kushindwa kusafiri na kusababisha kupooza.
9. Kuwepo kwa magonjwa ya moyo.
Kwa sababu ya kuongezeka kwa Sumu mwilini kwa hiyo moyo ushindwa kusukuma damu hivyo kuwepo kwa magonjwa.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Dua za Mitume na Manabii 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 ai web app 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Mwenye ujauzito wa wiki moja na ana u.t.i anaweza kutumia dawa za aina gani ambozo zitakua salama kwa kiumbe kilichoanza kukua?
Ujauzito unaweza kutoka kwa sababu nyingi kama maradhi, madawa, vyakula na ajali. Unawezakutoa mimba bila kujuwa amakwakujuwa. Damu kutoka ni moja ya dalili za kutoka kwa mimba hata hivyo maumivu ya tumbo huweza kuandamana na damu hii.
Soma Zaidi...Dalili za kujifungua
Makala hii itakwenda kukufundisha dalili za kujifunguwa, hatuwa za kujifunguwa na kuzalisha, pia utajifunza mabo muhimu kabla na wakatii wa kujifungua.
Soma Zaidi...Nguzo kuu za umama katika umri wa kupata watoto na kulea watoto
Posti hii inahusu zaidi nguzo kuu za umama katika umri wa kujifungua na kulea watoto, ni kipindi ambacho mama anakuwa analea watoto kwa kawaida kadri ya makadirio kipindi hiki uanza kati ya miaka kumi na mitano mpaka arobaini kwa walio wengi na kinaweza k
Soma Zaidi...Mabadiliko ya uzito kwa mjamzito
Posti hii inahusu zaidi mabadiliko ya uzito kwa mjamzito, hii ni hali ya kubadilika kwa uzito kwa Mama akiwa na Mimba
Soma Zaidi...Uzazi wa mpango kwa njia ya kumwaga manii nje.
Posti hii inahusu zaidi uzazi wa mpango kwa njia ya kumwaga shahawa nje, hii ni njia mojawapo kati ya njia za uzazi wa mpango ambapo mwanaume humwaga nje mbegu ili asimpatie Mama mimba.
Soma Zaidi...Wajibu wa mjamzito katika utaratibu wa uleaji wa mimba
Posti hii inahusu zaidi wajibu wa Mama mjamzito katika kileo mimba sio yeye tu Bali na wote waliomzunguka wanapaswa kuhakikisha kuwa mama mjamzito anapaswa kufanyiwa huduma zote Ili kuweza kujifungua salama na bila shida yoyote.
Soma Zaidi...