Madhara ya kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu
Post hii inahusu Zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea Kwa mgonjwa mweye usaha kwenye mapafu.
Madhara ya kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu.
1. Kwanza kabisa tunapaswa kufahamu kazi ya mapafu ambayo ni kuruhusu hewa safi kuingia kwenye mwili na kuruhusu hewa chafu kutoka kwenye mwili na kwenda nje,Kwa kufanya hivyo,mtu anaweza kupata hewa safi na kutoa hewa chafu nje,Kwa kawaida mapafu yasipofanya kazi vizuri madhara mengi utokea Kwa mtu,hata mtu akija kukata roho kwenye dakikia zake za mwisho Huwa tunaangali hewa,kwa hiyo hewa ni kitu Cha muhimu sana ,Kwa hiyo mapafu yasipofanya kazi vizuri ni rahisi kupata matatizo Zaidi na madhara mengi kama hasa kama mapafu yakishambuliwa na kuwepo Kwa usaha tunapata matatizo yafuatayo kama vile.
2. Kusambaza Kwa maambukizi kwenye mfumo mzima wa upumuaji.
Kwa kawaida ili hewa iweze kutoka na kuingia Kuna mfumo ambao hewa upitia hatua Kwa hatua Kwa mfano kwenye trachea,bronch,bronchiole, alveoli, alveolar sacs,mapafu na sehemu mbalimbali,kwa hiyo basi kama sehemu ya kwenye mapafu imepata shida na kuwa na usaha lazima bakteria watasambaa sehemu nyingine za mfumo wa upumuaji na kuleta maambukizi,Kwa hiyo Kwa kuwa tumeshaona dalili, nja za kutumia kutambua kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu ni vizuri kabisa kutibu tatizo mapema ili kuepuka hali ya kusambaza kwenye mfumo mzima wa upumuaji na kuleta madhara makubwa Zaidi.
3. Vile Vila maambukizi yanaweza kusambambaa kwenye sehemu mbalimbali za mwili kupitia kwenye mzunguko wa damu.
Kwa kawaida tunafahamu kwenye mwili wa binadamu ni Kama machine,mwili wabinadamu una mishipa ya artery, vein na mishipa midogo midogo, mishipa ya artery usabaza damu safi kwenye mwili kutoka kwenye moyo,mishipa ya veini utoa damu chafu kwenye mwili mpaka sehemu mbalimbali za mwili, Kwa hiyo basi na vile vile kwenye mapafu Kuna mishipa hiyo ya artery na vein naufanya kazi hiyo, ikitokea Kuna maambukizi kwenye mapafu na wadudu ubebwa kwenye mzunguko wa damu,mpaka sehemu mbalimbali za mwili kama vile kwenye ubongo na kusababisha usaha sehemu hizo hizo nazo zinaweza kupata matatizo hayo hayo,Kwa hiyo wapendwa wasomaji matibabu ni lazima ili kuweza kuepuka madhara makubwa Zaidi.
4. Kuharibika Kwa mishipa inayopeleka na kutoa damu kwenye mapafu .
Kwa sababu ya kuwepo Kwa usahaa kwenye mapafu na pia pengine Kwa Sababu ya kuwepo Kwa maambukizi kwenye mapafu ambayo usababisha kuwepo Kwa damu usababisha kuharibika Kwa mishipa inayopeleka damu kwenye mapafu na kutoa damu kwenye mapafu, Kwa hiyo hali ya mgonjwa inawezekana kuwa mbaya Kwa sababu ya kukosa damu ya kutosha kwenye mapafu.na pengine hiyo mishipa inawezekana kushambulia na bakteria walipo Kwa sababu ya kukosa Kwa matibabu.
5. Upungufu wa hewa safi ambayo Kwa kitaalamu huitwa oxygen na kupngezeka Kwa hewa chafu kwenye mapafu ambayo Kwa kitaalamu huitwa carbon dioxide.
Kwa sababu ya kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu na kuharibika Kwa mishipa ambayo upeleka damu kwenye mapafu hali hii usababisha damu ya oxygen kupungua na kusababisha kuongezeka Kwa damu ya carbon dioxide kwenye mapafu hali ambayo usababisha maisha ya mgonjwa kuwa magumu, Zaidi Kwa hiyo matibabu ni lazima kabisa ili kuweza kuokoa maisha ya mgonjwa.
6. Baada ya kuona madhara ya kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu kuwa ni mengi na matibabu yanahitajika Kwa mgonjwa ili kuweza kuokoa maisha ya mgonjwa na kujaribu kuelimisha jamii kuhusu kuwepo Kwa ugonjwa huu na kwamba unatibika na kujaribu kutoa Mila mbaya za kuwatenga wale walio na ugonjwa huu kwenye jamii.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
๐1 kitabu cha Simulizi ๐2 web hosting ๐3 Kitau cha Fiqh ๐4 Simulizi za Hadithi Audio ๐5 Madrasa kiganjani ๐6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Homa ya manjano, dalili za homa ya manjano na namna ya kujikinga na homa ya manjano
HOMA YA MANJANO (yellow fever)Homa ya manjano ni maradhi yanayosababishwa na virusi na husambazwa na mbu.
Soma Zaidi...Kiungulia na tiba zake kwa wajawazito.
Posti hii inahusu kiungulia kwa wanawake wajawazito na tiba yake, ni ugonjwa au hali inayowapata wajawazito walio wengi kwa sababu ya kuwepo kwa mabadiliko ya homoni wakati wa ujauzito.
Soma Zaidi...Viungo vinavyoathiriwa na malaria
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya viungo vinavyoathiriwa na ugonjwa wa malaria
Soma Zaidi...Madhara ya mwili kujaa sumu
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kupatikana ikiwa mwili unaweza kujaa sumu, kwa sababu mwili unapaswa kuwa huru Ili kuweza kufanya vizuri kazi yake ila ikiwa utajaa Sumu Kuna hatari mbalimbali zinaweza kutokea kama vile.
Soma Zaidi...Vipele vyenye maji (Chickenpox): Je, ni vya kuambukiza?
Vipele vyenye maji, kitaalamu Varicella, ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi vya Varicella-Zoster. Ugonjwa huu hujulikana kwa vipele vyake vyenye maji ambavyo huwasha sana. Ni ugonjwa unaoambukiza kwa kasi kubwa, hasa kwa wale ambao hawajawahi kupata ugonjwa huu au hawajachanjwa. Makala hii inafafanua jinsi virusi hivi vinavyosambaa na hatua za kuchukua ili kujikinga
Soma Zaidi...โDalili za Upungufu wa Damu kwa Watoto
โUpungufu wa damu ni hali inayotokea pale mwili unapokosa chembechembe nyekundu za damu za kutosha. Post hii inatoa mwongozo kwa wazazi kutambua viashiria muhimu ili kuwasaidia watoto
Soma Zaidi...