image

Madhara ya mwili kujaa sumu

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kupatikana ikiwa mwili unaweza kujaa sumu, kwa sababu mwili unapaswa kuwa huru Ili kuweza kufanya vizuri kazi yake ila ikiwa utajaa Sumu Kuna hatari mbalimbali zinaweza kutokea kama vile.

Madhara ya mwili kujaa sumu.

1.mwili ukijaa Sumu Kuna madhara ya kupata maambukizi kwenye Figo kwa kawaida tunafahamu kazi kubwa ya Figo kwa hiyo Figo likipata matatizo kunakuwepo na Sumu nyingi mwilini hali ambayo usababisha matatizo mengi mwilini na Figo ushindwa kufanya kazi yake.

 

2. Vile vile kunakuwepo na maambukizi kwenye inii , kwa kawaida Sumu ikiwa nyingi mwilini na ini linakuwa na kazi kubwa ya kuweza kufanya kazi yake hali ambayo usababisha maambukizi kwenye inii hali inayosababisha ini kushindwa kufanya kazi yake au inafanya kazi kwa shida kubwa.

 

3. Pia Sumu ikiwa nyingi mwilini Kuna tatizo la kupata ugumba, kwa sababu ya kuenea kwa Sumu na kazi ya homoni za uzalishaji upata shida sana hali ambayo usababisha kuwepo kwa ugumba  kwa hiyo ni vizuri kabisa kupunguza Sumu mwilini Ili kuweza kufanya kuwepo kwa mimba.

 

4. Pia kuwepo kwa Sumu mwilini usababisha kuwepo kwa uvimbe kwenye mwili au pengine uvimbe kwenye kizazi kwa sababu Sumu nyingi uweza kujilunda kwenye sehemu mbalimbali za mwili na kusababisha kuwepo kwa uvimbe.

 

5. Kuwepo kwa shinikizo la damu.

Kwa sababu ya kuwepo kwa Sumu kwenye mishipa usababisha moyo kusukuma damu kwa shida na hivyo usababisha shinikizo la damu.

 

6. Kwa hiyo baada ya kuona hasara mbalimbali ambazo utokana na uwepo kwa Sumu mwilini  tunapaswa kuhakikisha kuwa tunaepukana na vitu ambayo usababisha kuwepo kwa Sumu kwenye mwili na kuimarisha afya zetu vizuri Ili tuweze kuepukana na tatizo la kuwepo kwa Sumu mwilini





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1282


Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Visababishi vya maambukizi kwenye milija na ovari
Posti hii inahusu zaidi visababishi vya maambukizi kwenye milija na, ni mambo yanayosababisha maambukizi kwenye milija na ovari. Soma Zaidi...

Kukosa choo
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za kukosa choo Soma Zaidi...

WATU WALIO HATARINI KWA UGONJWA WA MALARIA (wazee, watoto, wajawazito, wageni n.k)
Malaria inaweza kumpata mtu yeyote bila ya kujali mri. Soma Zaidi...

DAWA MBADALA ZA VIDONDA VYA TUMBO
DAWA MBADALA ZA VIDONDA VYA TUMBO Dawa za kukabiliana na zaidi ambazo zina calcium carbonate (Tums, Rolaids), zinaweza kusaidia kutibu vidonda vya tumbo lakini hazipaswi kutumiwa kama matibabu ya msingi. Soma Zaidi...

Madhara ya ugonjwa wa ukimwi kwenye jamii.
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea ikiwa Ugonjwa huu wa ukimwi ukishasmbaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine na kuleta madhara makubwa kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

Sababu za maumivu ya tumbo
hapa utajifunza maradhi mbalimbali yanatopelekea kuwepo kwa maumivu ya tumbo Soma Zaidi...

Njia za kuzuia kiungulia
Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya njia za kuzuia kiungulia Soma Zaidi...

Njia za kupambana na kuzuia gonorrhea
Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya njia za kupambana na kuzuia gonorrhea Soma Zaidi...

ATHARI ZA KUTOTIBIWA VIDONDA VYA TUMBO
ATHARI ZA KUTOTIBIWA VIDONDA VYA TUMBO Kuachwa kwa vidonda vya tumbo bila kutibiwa, vinaweza kusababisha: Kutokwa na damu kwa ndani. Soma Zaidi...

Najis nina fangasi nawashwa sehem za sili pia korodan zinawaka kama moto pia nahsi kupungukiwa nguvu
Soma Zaidi...

Maumivu ya tumbo kwa chini upande wa kushoto
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo chini upande wa kushoto Soma Zaidi...

Jinsi ya kujikinga na mafua (common cold)
Posti hii inazungumzia dalili na namna ya kujikinga tusipate mafua .mafua kwa jina lingine hujulikana Kama baridi ya kawaida (common cold).baridi ya kawaida husababishwa na virusi kwenye pua na hutoa makamasi. Soma Zaidi...