Madhara ya sindano za kuzuia mimba kwa vijana.

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa sababu ya matumizi ya sindano za kuzuia mimba kwa vijana ambao hawajafikilia mpango wa kuanza kujifungua watoto.

Madhara ya sindano za kuzuia mimba kwa vijana au wasichana ambao hawana mpango wa kuanza kujifungua.

1. Kwanza kabisa tunapaswa kufahamu maana ya uzazi wa mpango ni njia inayotumiwa na wenza Ili kupata idadi ya watoto wanaowahitaji au kuwapatia nafasi kutoka kwa mtoto mmoja kwenda kwa mwingine ila Kuna wasichana ambao hawana mpango wa kuanza kujifungua karibuni ila wanatumia njia ya uzazi wa mpango kwa mda mrefu na Kuna madhara yake kama ifuatavyo.

 

2. Kubadilika kwa hedhi.

Kwanza kabisa kama msichana anatumia siku tatu wakati wa hedhi anaweza kuanza kutumia siku tano ,sita Saba na kuendelea hali inayosababisha upungufu wa damu mwilini au pengine damu inakuwa ni nzito au nyepesi kuliko kawaida kwa sababu ya matumizi ya sindano kwa mda mrefu.

 

3. Maumivu ya kichwa ya mara Kwa mara.

Kwa sababu ya kuwepo au kubadilika kwa homoni usababisha maumivu ya kichwa ya mara Kwa mara au kwa sababu ya kutokwa na damu nyingi nayo usababisha maumivu ya kichwa ya mara Kwa mara.

 

4. Kuwepo kwa kizungu zungu.

Kwa kawaida kwa sababu ya kutumia dawa za sindano usababisha kuongezeka kwa homoni au kubadilika kwa mwili kwa hali isiyo ya kawaida au kitendo cha kupungua kwa damu mwilini nacho usababisha kuwepo kwa kizungu zungu kwa akina dada.

 

5. Kuwepo kwa kichefuchefu.

Hali hii utokea  kwa sababu ya kuongezeka kwa homoni nyingine kutoka kwenye sindano na Ile hali ya kuvurugika kwa mfumo wa hali ya mwili kwa sababu ya sindano.

 

6. Kuwepo kwa uzito usio wa kawaida.

Kwa wakati mwingine kunakuwepo na uzito usio wa kawaida kwa sababu ya sindano na meongezeko wa homoni.

 

7. Kuwepo kwa uvimbe kwenye kizazi.

Kwa sababu ya sindano za kila mwezi na kuharibu mfuko mzima wa mwili usababisha kuwepo kwa uvimbe kwenye kizazi.

 

8. Kwa hiyo dalili hizi si kwa akina dada tu zinaweza kutokea hata kwa baadhi ya akina Mama kwa hiyo tunaenda kuwataarifu akina dada kusubiri wakati wao ufike ndo wajiingize kwenye matumizi ya uzazi wa mpango.

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/07/Thursday - 04:58:46 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 3407

Post zifazofanana:-

Nini husababisha mtoto kukosa maji kabla ya kuzaliwa?
inaweza kutokea kuwa mtoto aliye tumboni akaishiwa maji hata kabla ya kuzaliwa. yes hali hii huweza kuwapata baadhiya watoto. Soma Zaidi...

Dalili za minyoo mviringo (ascariasis)
Ascariasis ni aina ya maambukizi ya minyoo mviringo. Minyoo hii ni vimelea wanaotumia mwili wako kama mwenyeji kukomaa kutoka kwa mabuu au mayai hadi minyoo wakubwa. Minyoo ya watu wazima, ambayo huzaa, inaweza kuwa zaidi ya futi (sentimita 30) kwa Soma Zaidi...

Dalili za ugonjwa wa uvimbe na mashambulizi ya bacteria kwenye korodani
Posti hii inaonyesha dalili,Sababu,na namna ya kujikinga na ugonjwa wa uvimbe na mashambulizi ya bacteria kwenye korodani ambao kitaalamu hujulikana Kama orchitis. Soma Zaidi...

Kisiwa cha uokozi
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa safari saba za Sinbad Soma Zaidi...

Sababu za kushuka Surat al Kafirun
Sura hii imekuja kukata rai ya Makafiri wa Makka kuhusu ibada ya ushirika. Hivi leo tungesema kuhusu dini mseto. Soma Zaidi...

Njia za kupunguza makali ya pressure au shinikizo la damu
Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kupunguza ugonjwa wa pressure au shinikizo la damu kwa waliokwisha kupata wanaweza kupunguza na kwa wake ambao hawajapata ni nzuri inawasaidia kuepuka hatari ya kupata ppresha. Soma Zaidi...

Makundi ya dini za wanaadamu
Kwenye kipengele hichi tutajifunza makundi ya dini za watu. Na makundi hayo ni matatu. Soma Zaidi...

Asbab nuzul surat at Tin, Sababu za kushuka surat at Tin (watin wazaitun)
Post hii itakwenda kukufundisha sababu za kushuka kwa surat at Tin (watin wazaitun). Soma Zaidi...

Saratani ya koo(cancer of the Esophagus)
Tijufunze zaidi kuhusu saratani ya koo. Vihatarishi vyake,dalili zake,tiba na lishe kwa mgonjwa mwenye saratani ya koo. Soma Zaidi...

Sasa UKIMWI unatokeaje?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia ambazo UKIMWI hutokea Soma Zaidi...

Faida za kula viazi mbatata
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata Soma Zaidi...

Kuamini vitabu vya mwenyezi Mungu (s.w)
Nguzo za Imani (EDK form 2: Dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...