Madhara ya Tiba kemikali kwa wagonjwa wa saratani
Posti hii inahusu zaidi madhara ya Tiba kemikali, ni madhara yanayotokea kwa wagonjwa wa saratani, madhara haya yanayoweza kuwa ni kwa Sababu mbalimbali kama vile kuaribika kwa seli zinazoendelea kufanya kazi kwenye mwili.
Madhara ya Tiba kemikali.
1. Miwasho ndani ya pua na mdomoni, miwasho hii utokea sehemu za pua na midomoni ambayo uendana na kuwepo kwa vipengele ndani ya pua na midomoni na puani hali hii ikitokea kwa wagonjwa wa saratani wanapaswa kutumia dawa za kawaida zinazotumika kutibu maupele kwenye mdomo na puani na pengine hali ikiendelea mgonjwa anapaswa kuonana na daktari wake kwa ushauri zaidi na pia mgonjwa anapaswa kutumia sana vyakula vya kujenga mwili.
2. Kupoteza nywele kichwani.
Wagonjwa wa saratani upotea nywele kichwani hii ni kwa sababu ya kemikali ambayo uharibu mfumo wa seli na kusababisha nywele kuisha kwa mda kichwani, lakini baadae urudi tena hali hii ikitokea kwa wagonjwa wa saratani jamii inabidi kuelewa kuwa ni Sababu ya madawa na waepuke kuwa na Imani potofu kuhusu wagonjwa wa Aina hii na pia wanapaswa kutumia vyakula vya kutosha Ili kuweza kurudisha afya zao kwenye hali ya kawaida na vyakula viwe na virutubisho vya kutosha.
3. Mgonjwa anakuwa na uchovu
Kwa kawaida wagonjwa wanaotumia dawa hii ya Tiba kemikali huwa na uchovu wa mara kwa mara kwa Sababu seli zao huwa zimearibiwa na kemikali na kwa hiyo wakati wa Tiba mgonjwa uhisi kuwa na uchovu kwa hiyo anapaswa kupumzika na sio kupumzika mda wote Bali anapaswa kutembea kwa mda wa dakika Kumi na Tano Ili kuupatia mwili mazoezi ya kutosha ingawa mazoezi yasiwe ya mda mrefu Bali kidogo kidogo na pia kutumia vyakula vinavyoongeza nguvu mwilini Ili kuondoa uchovu wa mara kwa mara.
4. Mgonjwa anayetumia Tiba kemikali huwa na kichefuchefu .hali hii utokea kwa sababu ya dawa zinazotumika kuharibu mfumo wa umengenyaji ambapo mgonjwa uhisi kurudisha kila kitu anachokula kwa hiyo mgonjwa anapaswa kula kidogo kidogo na mara kwa mara, anapaswa kutumia vitu vigumu kama vile mkate na chapati na anapaswa kuepuka kuinama akae wima na kuepuka vyakula ambavyo huwa havipendelei vinaweza kusababisha kutapika .
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Tatizo la ngozi kuwasha (ugonjwa wa kuwashwa kwa ngozi
Dermatitis ni hali inayofanya ngozi yako kuwa nyekundu na kuwasha. Ni kawaida kwa watoto, lakini inaweza kutokea katika umri wowote. Hakuna tiba iliyopatikana ya ugonjwa wa Dermatitis
Soma Zaidi...Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces
Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces, hawa ni fangasi wanaosababisha maradhi yajulikanayo kama blastomycosis.
Soma Zaidi...Watu walio hatarini kupata UTI
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya makunfi ya watu walio hatarini kupata UTI
Soma Zaidi...Ugonjwa wa ngozi wa Scabies (Kupele): Tiba yake na usafi.
Kupele (Scabies) ni ugonjwa wa ngozi unaowasha sana unaosababishwa na wadudu wadogo sana wanaoitwa Sarcoptes scabiei. Wadudu hawa huchimba mahandaki chini ya ngozi ili kutaga mayai, jambo linalosababisha mwasho mkali ambao huwa mbaya zaidi nyakati za usiku. Scabies huambukiza kwa urahisi sana kupitia mguso wa ngozi na ngozi au kushirikiana nguo na matandiko. Makala haya yanakupa mwongozo wa tiba sahihi na jinsi ya kudumisha usafi ili kutokomeza ugonjwa huu.
Soma Zaidi...Uchovu wa akili na mwili (Burnout): Dalili na ahueni.
Andika post ya blog yenye kichwa 'Uchovu wa akili na mwili (Burnout): Dalili na ahueni.', muhtasari, utangulizi, maudhui, fact check (Je! wajuwa?) na hitimisho. Post iwe ndefu zaidi ya maneno 1200 na iwe tayari kwa ajili ya SEO. Andika kwa kiswahili cha kitaalamu.bold heading
Soma Zaidi...Chakula bora kwa watoto chini ya miaka mitano.
Miaka mitano ya kwanza ya maisha ni kipindi cha ukuaji wa kasi, ambapo lishe sahihi inaamua msingi wa afya ya kimwili na kiakili kwa maisha yote. Makala haya yanachunguza mahitaji ya lishe kwa watoto wadogo, kutoa ushauri wa kitaalamu juu ya vyakula bora, na kutoa mwongozo wa namna ya kujenga tabia njema za ulaji ili kuzuia utapiamlo na magonjwa yasiyoambukiza.
Soma Zaidi...