Madhumuni ya dola ya uislamu

Dola ya uislamu madinah (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)

  1. Kujenga maisha ya mwanaadamu yaliyo katika misingi ya (Tawhiid) Ucha-Mungu na matendo mema.
  2. Kuondosha uovu, dhuluma, ukandamizaji, maasi, ukatili, tabaka, unyonyaji, uonevu, n.k katika jamii. Qur’an (57:25).
  3. Kutumia mamlaka katika kusimamia na kuendeleza maadili katika maisha ya jamii. Qur’an (22:25).
  4. Kusimamia na kulinda haki na uadilifu kwa wanaadamu wote na viumbe wengine.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Sira Main: Dini File: Download PDF Views 1317

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh    👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉3 Simulizi za Hadithi Audio    👉4 Bongolite - Game zone - Play free game    👉5 Madrasa kiganjani    👉6 kitabu cha Simulizi   

Post zinazofanana: