Mafungu ya urithi yaliyotajwa katika haya sita yafutayo:1.
Mafungu ya urithi yaliyotajwa katika haya sita yafutayo:
1.Nusu (1/2)
2.Robo (1/4)
3.Thuluthi. (1/3)
4.Thuluthi mbili (2/3) 5.Sudusi. (1/6)
6.Thumuni (1/8)
Mwenye kupewa mafungu
Katika warithi kuna wenye kupata mafungu maalum katika hayo mafungu sita; na kuna wasiokuwa na mafungu maalum ambao hupata kilichobakia baada ya wenye mafungu kuchukua mafungu yao au kupata mali yote ikiwa hapana wenye mafungu. Wasio na mafungu huitwa asaba.
Wenye mafungu maalum katika urithi ni watu kumi na na mbili (12) wafuatao:
I .Baba.
2.Babu.
3.Binti. 4.Binti wa mtoto mwanamume (mjukuu).
5.Ndugu wa kwa mama.
6. Dada wa kwa baba na mama.
7.Dada wa kwa baba.
8.Dada wa kwa mama.
9.Mama.
1O.Bibi.
11.Mume.
12. Mke.
Umeionaje Makala hii.. ?
Post hii itakufundisha faida na umuhimu wa kijenga uchumi katika jamii ya kiislamu.
Soma Zaidi...Sunnah za SwalaSunnah za Swala Vipengele vya sunnah katika swala ni vile ambavyo mwenye kuswali akivitenda husaidia sana kukuza daraja ya swala yake na kuipa nguvu na msukumo mkubwa wa kuiwezesha kufikia lengo lililokusudiwa kwa urahisi zaidi.
Soma Zaidi...Tofauti kati ya mfumo wa uchumi wa Kiislamu na ile ya Kitwaghuti (i) Dhana ya mafanikioKatika mtazamo wa uchumi wa Kiislamu mafanikio yanatazamwa kwa kuzingatia hatima ya ama mtu kupata radhi za Mwenyezi Mungu au kubeba laana ya Mwenyezi Mungu.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza utaratibu wa kusherekea ifil fitir. Pia utajifunza sunnah zinazoambatsns na idil fitir
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu umuhimu wa kufunga kiroho, kiafya na kijamii.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu jinsi yavkutayamamu.
Soma Zaidi...Unajuwa namna ambavyo matumizi ya mali yako, yanavyogawanywa? Jifunze hapa mgawanyiko wa mali yako.
Soma Zaidi...