Magonjwa ya kuambukiza.
Posti hii inahusu zaidi Magonjwa ya kuambukiza, ni magonjwa ambayo yanaweza kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na kuweza kusababisha madhara yale yale kwa mtu aliyeambukizwa au anayeambukiza kwa hiyo Maambukizi yanaweza kuwa ya moja kwa moja au yasi
Namna Magonjwa ya kuambukiza yanavyosambaa.
1.Magonjwa haya yanaweza kuwa ya moja kwa moja au yasiyo ya moja kwa moja kwa sababu ya moja kwa moja ni Maambukizi ya moja kwa moja kutoka kwa mtu au kwa kitu kinachoeneza ugonjwa kwa mfano Magonjwa ya kujamiiana, kugusana,kubusiana na mengine kama hayo .
2.Maambukuzi yasiyo ya moja kwa moja.
Kuna Maambukizi ambayo upitia kwa vitu au kitu na kufikia kwa mhusika na kuisambaza Magonjwa kwa mfano kupitia kwa wadudu ambao wanakuwa wamebeba magonjwa au kupitia kwa kitu chochote ambacho ubeba wadudu wanaosababisha magonjwa kwa mfano kwenye damu utakuta wadudu wanaosababisha homa ya ini, Ukimwi, magonjwa ya zinaa na mambo yote ambayo upitia kwenye damu.
3. Pengine wadudu wanaweza kupitia kwenye vimiminika na kusambazwa kwa mtu na akapata ugonjwa kwa mfano mtu akipiga chafya yale maji yanasambaa kwenye sehemu fulani ya mwili wa mwingine mtu huyo anaweza kupata magonjwa, au pengine wakati wa kukohoa, kubusiana na mambo kama hayo kwa hiyo tunapaswa kuwa makini na maji maji kutoka kwa mgonjwa kwenda kwa mtu mzima.
4. Pengine ugonjwa unaweza kusambaa kwa njia ya hewa ambapo kwa kitaalamu huitwa aibone diseases , magonjwa haya usambaa kwa njia ya hewa kwa hiyo tuwe makini kwa watu tunaowahudunmmia ili kuepuka Maambukizi.
5. Kupitia kwa wadudu.
Hali hii utokea pale wadudu kama plasmodium, chawa na wengine na wanaosababisha ugumjwa kwa hiyo tunapaswa kuwalinda wagonjwa wetum
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 Kitabu cha Afya π2 Simulizi za Hadithi Audio π3 kitabu cha Simulizi π4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina π5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) π6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Dalili za saratani ya koo
Saratani ya Koo inarejelea Vivimbe vya Saratani vinavyotokea kwenye koo lako (koromeo), sanduku la sauti (larynx) au tonsils.
Soma Zaidi...Kisonono sugu: Sababu za kutosikia dawa na tiba yake.
βKisonono (Gonorrhea) ni maambukizi ya zinaa (STI) yanayosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae. Ingawa kimsingi ugonjwa huu hutibika kwa urahisi kwa antibiotics, kuibuka kwa kisonono kisichosikia dawa (drug-resistant gonorrhea) kumegeuka kuwa tishio kubwa la afya ya jamii. Makala haya yanachunguza kwa nini baadhi ya maambukizi huwa sugu, hatari zake, na umuhimu wa kufuata taratibu za kitabibu ili kupata uponyaji kamili.
Soma Zaidi...Mimba ya Uongo ni Nini?
Makala hii inaangazia hali ya kisaikolojia na kimwili inayojulikana kama "Mimba ya Uongo" (Pseudocyesis). Tutaelezea maana yake, dalili kuu ambazo mwanamke anaweza kuzihisi, sababu za kitaalamu zinazosababisha hali hii, na umuhimu wa kupata msaada wa kitabibu na kisaikolojia
Soma Zaidi...Fahamu Ugonjwa wa Brucellosis
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa Brucellosis ni maambukizi ya bakteria ambayo huenea kutoka kwa wanyama hadi kwa watu mara nyingi kupitia maziwa ambayo hayajasafishwa au kuchemshwa vizuri na bidhaa zingine za maziwa. Mara chache zaidi, ba
Soma Zaidi...Dalili za mnungu'nguniko wa moyo
Manung'uniko ya moyo ni sauti wakati wa mzunguko wa mapigo ya moyo wako kama vile kutetemeka inayotolewa na damu yenye msukosuko ndani au karibu na moyo wako.
Soma Zaidi...ugonjwa wa Malaria dalili zake na chanzo chake.
Malaria ni moja ya magonjwa hatari yanayoongoza katika vifo vya watoto wengi duniani walio chni ya umri wa miaka 5. Katika post hii utakwend akujifunza kuhusuugonjwa huu jinsi unavyotokea, hatuwa zake na dalili zake.
Soma Zaidi...