image

Magonjwa ya kwenye ovari na Dalili zake.

Post hii inahusu zaidi Magonjwa yanayoshambulia sana ovari na Dalili zake, haya ni magonjwa ambayo yanashambulia sana ovari ni kama ifuatavyo.

Magonjwa yanayoshambulia sana ovari na Dalili zake.

1. Kwanza kabisa kabisa Maambukizi kwenye ovari usababishwa na bakteria kwa kawaida maambukizi utokea kwenye pelvis ambayo kwa kitaalamu huitwa PID,  haya magonjwa uwakumba sana wanawake na kwa siku hizi ni mengi sana ambapo kwa kiasi kikubwa utokana kwa sababu ya kujamiiana ambapo bakteria utokana na mtu ambaye ana ugonjwa kwenda kwa mtu ambaye hana ugonjwa.

 

2. Dalili zake  kubwa ni maumivu chini ya kitovu na kwenye pelvis , hali hii hutokea kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi ambayo usababishwa na bakteria, na pia mgonjwa uhisi maumivu wakati wa kujamiiana na wakati wa kukojoa kwa hiyo Mgonjwa akihisi dalili kama hizo anapaswa kuwahi kwenda hospitalini  mara moja.

 

3. Na Dalili nyingine ni pale  Mgonjwa akifikia siku zake za mwezi damu ambayo utokea ni nzito sana kuliko kawaida na pengine inatoka kama mabonge mabonge na hali hii utokea kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi, na pengine mama anaweza kuingia kwenye siku zake za mwezi zaidi ya mara moja kwa mwezi kwa hiyo baada ya kuona dalili kama hizo ni lazima kwenda hospitalini  mara moja.

 

4. Na kwa wakati mwingine uchafu utoka kwenye uke ukiwa na harufu mbaya na  kufanya mama kujisikia vibaya na pengine homa inaweza kushuka au kupanda ambayo uambatana na kutapika na kutetemeka kwa mgonjwa kwa hiyo Mgonjwa hapaswi kunyamazia hali hii ila alitubu mara moja kwa kufuata maagizo ya daktari na wataalamu wengine wa afya.           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/01/29/Saturday - 10:27:58 pm Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 960


Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Kwa nini hujapata siku zako za hedhi.
Unaweza kupitiliza siku zako za hedhi kwa sababu nyingi. Post hii itakueleza ni kwa nini umechelewa kupata siku zako. Soma Zaidi...

Dalili za kupasuka kwa mfuko wa uzazi.
Posti hii inahusu zaidi dalili za kupasuka kwa mfuko wa uzazi,ni Dalili ambazo ujitokeza kwa Mama ambaye anakuwa amepasuka mfuko wa kizazi. Soma Zaidi...

Je mwanamke anaweza kujijuwa ni mjamzito baada ya muda gani.
Mdau anauliza ni muda gani mwanamke anaweza kujijuwa kuwa amepata ujauzito. Soma Zaidi...

Dalili za Maambukizi kwenye kitovu cha mtoto
Posti hii inahusu zaidi Dalili ambazo ujitokeza kama kuna Maambukizi yoyote kwenye kitovu cha mtoto mdogo, kwa kawaida kitovu cha mtoto kama kiko vizuri kinapona kwa mda mchache na kinakauka mapema iwezekanavyo bila kuwa na tatizo lolote ila kama kuna Dal Soma Zaidi...

Kutokwa na damu baada ya tendo la ndoa
Kutokwa na damu baada ya tendo la ndoabkunaweza kuashiria kuwa kuna majeraha yametokea huwenda ni michubuko ilitokea ndio ikavujisha damu. Lakini kwa nini hali kama hii itokee. Posti hii itakwwnda mujibu swali hili. Soma Zaidi...

Madhara ya kiafya ya kupiga punyeto
Post hii inakwenda kukutania madhara ya kuoiga punyeto kwa afya yako. Soma Zaidi...

Sababu za mtoto kuzaliwa akiwa na uzito mkubwa
Post hii inahusu zaidi sababu mbalimbali za mtoto kuzaliwa akiwa na uzito mkubwa, mara nyingi tatizo hili uwakumba akina mama mbalimbali ambapo mtoto uzaliwa akiwa na uzito mkubwa Soma Zaidi...

Kiwango cha juu cha Androgen
Posti hii inahusu zaidi homoni ya androgen, ni homoni ambayo imo kwa wanaume na ikizidi kwa kiwango chake inaweza kuleta shida kwenye mwili wa binadamu kwa hiyo homoni hii inaweza kuleta shida iwapo ikiongezeka kwa kiasi kikubwa. Soma Zaidi...

SABABU ZA KUTOKA KWA MIMBA (sababu za kuharibika kwa ujauzito)
Tafiti zinaonesha kuwa karibia asilimia 10% mpaka 25% ya wanawake wanaopata ujauzito, mimba zao hutoka. Soma Zaidi...

Mwanamke anatema mate mara kwa mara je inaweza kuwa ni ujauzito?
Ni kweli kuwa kutema mate mara kwa mara inaweza kuwa ni dlili za ujauzito. Lakini itambulije kuwa pekee sio kithibitishi cha ujauzito. Soma Zaidi...

Dalili za kuharibika kwa mimba
Katika post hii utajifunza ishara na dalili ninazoonyesha kuwa mimba ipo hatarini kutoka ama inaweza kuwa imeshatoka. Soma Zaidi...

Malengo ya huduma za uzazi kwa akina Mama.
Posti huu inahusu zaidi malengo ya huduma za uzazi kwa akina Mama, ni huduma muhimu ambazo zimetolewa kwa akina Mama ili kuweza kuepuka hatari mbalimbali zinazowakumba akina Mama wakati wa ujauzito, kujifu na malezi ya watoto chini ya miaka mitano. Soma Zaidi...