Magonjwa ya moyo

Posti hii inahusu zaidi magonjwa ya moyo, kwa kawaida watu wakisikia habari za magonjwa ya moyo huwa hawaelewi yanakuwaje kuwaje, Leo nataka niwafahamishe kuhusu magonjwa ya moyo na sehemu mbalimbali zinazoathirika.

Magonjwa ya moyo.

1. Kwanza kabisa tunapaswa kufahamu kuwa asilimia kubwa ya watu wenye matatizo ya moyo upata shida sana kiafya kwa sababu uweza kunyongenyea kwa sababu kazi ya moyo ni kubwa sana ambayo ni kusukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili,iwapo kama damu haijasambaa ni tatizo kubwa sana kwa hiyo ni vizuri kujua ni vipi na kwa namna gani moyo upata matatizo.

 

2. Mashambulizi kwenye misuli ya moyo.

Kuna wakati utasikia watu wanalalamika kuwa mtu Fulani ana matatizo ya moyo na hawajui tatizo likoje, kwa hiyo mashambulizi yakiwa kwenye sehemu za misuli uweza kusababisha moyo kusukuma damu kwa shida kubwa.

 

 

3. Pia Kuna mashambulizi kwenye mishipa ya moyo.

Kuna wakati mwingine mishipa ya kwenye moyo ushindwa kupeleka damu vizuri kutoka sehemu Moja kwenda nyingine ambapo usababisha mwili kukosa damu ya kutosha na kusababisha mgonjwa kukosa nguvu kama ni mtoto ukuaji unakuwa ni WA shida sana.

 

 

4. Mashambulizi kwenye valve za moyo.

Kuna wakati mwingine damu utoka kwenye sehemu mbalimbali za mwili na kuingia kwenye moyo kwa kupitia kwenye valve Kuna wakati mwingine valve upata mashambulizi hali inayosababisha kazi ya kusambaa kwa Damu kuwe na shida 

 

 

5. Tunfu kwenye moyo.

Kwa wakati mwingine kunakuwepo na tundu kwenye sehemu mbalimbali na of kufanya hali ya mgonjwa kuwa mbali hasa pat

 

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/05/20/Friday - 01:55:14 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1002

Post zifazofanana:-

Minyoo na athari zao kiafya
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu minyoo na athari zao kiafya Soma Zaidi...

Faida za mbegu za papai
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mbegu za papai Soma Zaidi...

Zijue hasara za magonjwa ya ngono
Posti hii inahusu zaidi hasara za magonjwa ya ngono, ni magonjwa yanayoambukizwa kwa kujamiiana bila kutumia kinga. Soma Zaidi...

Njia za kukabiliana na presha ya kupanda/hypertension
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na presha ya kupanda Soma Zaidi...

Vijuwe virutubisho vilivyomo kwenye parachichi.
Posti hii inahusu zaidi virutubisho vilivyomo kwenye parachichi, tunajua sana kuwa parachichi ina virutubisho vingi ambavyo vinaweza kuleta faida nyingi kwenye mwili kama yalivyo matunda na vyakula vingine. Soma Zaidi...

Mtume Muhammad s.a. w akutana na Bahira
Sura na historia ya Mtume Muhammad s.a. w sehemu ya 11 Soma Zaidi...

Kwanini wengi wanaoswali hawafikii lengo la swala zao
Nguzo za uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Dalili za UTI upande wa wanawake
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za UTI upande wa wanawake Soma Zaidi...

Imani potofu kwa mwanamke mwenye mimba
Posti hii inahusu zaidi imani potofu kwa mwanamke mwenye mimba, ni Imani ambazo zimekuwepo kwenye jamii kuhusu wanawake wenye mimba. Soma Zaidi...

Hadithi iliyosimuliwa na kijakazi wa sultani
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

Wenye ruhusa za kutofunga ramadhan
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Fahamu njia ya kuchagua dawa
njia ya kuchagua dawa itumike inategemea mambo mawili ambayo ni:Kutegemea dawa: Maandalizi yaliyopoInategemea hali ya mgonjwa: Dharura au kutowezekana kwa ulaji kwa baadhi ya njia ya utawala wa dawa ni njia ya ambayo dawa au dutu nyingine huletwa na mwi Soma Zaidi...