MAGONJWA YANAYOWASHAMBULIA WATOTO WACHANGA


image


Watoto wachanga ni watoto wenye umri chini ya miaka mitano, watoto hawa hushambulia na maginjwa mara kwa mara na kusababisha ukuaji wao kuwa dunk,


Yafuatayo ni magonjwa yanayowapata  watoto

1. Malaria

2 .kuharisha

3. Upungufu wa damu

4. Degedege

5.utapia mlo

6. Pumu

 

Dalili za magonjwa haya

 Kwa ujumla dalili za magonjwa haya hufanana kwa namna moja au nyingine, zifuatazo ni dalili za magonjwa nyemelezi kwa watoto

1. Homa za mara kwa mara

2. Kukosa hamu ya kula

3. Kuishiwa nguvu

4. Mtoto kukosa raha

5. Kudumaa ukiwa magonjwa hayajatibiwa mapema.

 

Mbinu za kufanya Ili kuzuia kuwepo kwa magonjwa haya.

1. Kuhudhulia kliniki mara kwa mara

2. Kuonana na daktari au muuguzi pale ambapo Hali ya mtoto ikibadilika.

3. Kutumia dawa kwa uaminifu

4. Kuepuka Mila na desturi potovu kuhusiana na magonjwa mbalimbali

5. Kutumia dawa na kupata chanjo zinazohitajika kwa watoto.

 

Madhara yanayoyokea tusipo watibu watoto mapema.

1. Ulemavu usiotarajiwa

2. Kupoteza maisha kwa watoto

3. Kudumaa kwa watoto

4. Magonjwa kuwa sugu na kutoa kitu kingine

 

Kwa hiyo tunaona watoto wadogo wanavyoshambuliwa sana na maginjwa mbalimbali kwa hiyo tunapaswa kuwalinda na kuwaweka katika mazingira mazuri Ili wasipatwe na magonjwa.

 

 

 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    5 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya php    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Kwanini mbu hawezi kuambukiza ukimwi
Somo Hili linakwenda kukueleza sababu za kwanini mbu hawezi kuambukiza ukimwi Soma Zaidi...

image Mabadiliko kwenye uke wa Mama pale anapobeba mimba.
Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye uke wa Mama pale anapobeba tu mimba, Mama anapobeba mimba Kuna mabadiliko Katika uke wa Mama kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

image Utaratibu wa lishe kwa wagonjwa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wagonjwa Soma Zaidi...

image Zijue dalili za upungufu wa maji mwilini
Posti hii inaelezea kuhusiana na upungufu wa maji mwilini Soma Zaidi...

image Kuboresha afya
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu mambo yanayosaidia kuboresha afya Soma Zaidi...

image Ugonjwa wa UTI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu ugonjwa wa UTI Soma Zaidi...

image Dalili za madhara ya figo
Posti hii inahusu dalili za figo.figo husawazisha maji mwilini pamoja na kuchuja mkojo. Soma Zaidi...

image Dalili za maumivu yanayosababishwa na mtiririko mdogo wa Damu.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na maumivu yanayosababishwa na mtiririko mdogo wa damu, kwa kawaida wakati wa mazoezi. Wakati mwingine huitwa upenyo wa vipindi, hali hii kwa ujumla huathiri mishipa ya damu kwenye miguu, lakini upenyo unaweza kuathiri mikono pia. Mara ya kwanza, labda utaona maumivu wakati tu unafanya mazoezi, lakini jinsi Ugonjwa huu unavyozidi, maumivu yanaweza kukuathiri hata wakati umepumzika. Soma Zaidi...

image Uchunguzi wa Nimonia kwa mtoto na Tiba
Posti hii inahusu namna unavyoweza kumtambua mtoto mwenye Ugonjwa wa Nimonia na tiba anayopaswa kupata mtoto mwenye Nimonia Soma Zaidi...

image Vidonda vya tumbo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu ugonjwa wa vidonda vya tumbo Soma Zaidi...