Homa ya Dengue, dalili za homa ya dengue na Njia ya kujikinga nayo

HOMA YA DENGUEHoma ya dengue ni miongoni mwa maradhi hatari ambayo husambazwa na mbu.

Homa ya Dengue, dalili za homa ya dengue na Njia ya kujikinga nayo

HOMA YA DENGUE
Homa ya dengue ni miongoni mwa maradhi hatari ambayo husambazwa na mbu. Huweza kutokea katia maeneo ynye uoto wa kitropiki kama maeneo ya Afrika na Asia. Dengue kitaalamu pia hufahamika kama hdengue emorrhagic fever. Homa hii huweza kusababisha kushuka kwa presha ya damu, homa kali sana kutokwa na damu na hata kufariki.

Ugonjwa wa dengue huweza kuathiri mamilioni ya watu dunia nzima bado wataalamu wapo katika kutafuta chanjo ya ugonjwa huu. Kama ilivyo magonjwa mengine ya virusi dengue pia haina dawa maalumu, lakini mgonjwa atatibiwa kulingana na dalili anazoonyesha na hatimaye atapona. Wagonjwa wengi hupata nafuu dani ya wiki moja.

DALILI ZA UGONJWA WA HOMA YA DENGUE
1.homa kali sana inayofika nyizi 41 za sentigredi
2.Maumivu ya kicha
3.Maumivu ya misuli, viungio na mifupa
4.Maumivu nyuma ya macho

Pia unaweza ukaona dalili nyingine kama:-
1.kuenea kwa ukurutu mwilini
2.Kuchefuchefu na kutapika
3.Kutokwa na damu kwenye finzi na pua

ATHARI ZA KUCHELEWA KUTIBUWA KWA HOMA YA DENGUE
1.kutoka damu kwa wingi kwenye pua na mdomo
2.Maumivu makali sana ya tumbo
3.Kutapika kusikokoma
4.Kutokwa na damu chini ya ngozi
5.Matatizo kwenye ini, mapafu na moyo
6.Kifo

SABABU ZA HOMA YA DENGUE
Kama tulivyoona hapo juu kuwa homa ya dengue husababishwa na virusi ambao wanasambazwa na mbu. Pindi mbu kwenye virusi hawa akimng'ata mtu kumuachia virusi vya dengue.

NJIA ZA KUPAMBA NA NA HOMA YA DENGUE
Mpaka sasa hakuna chanjo ya homa ya dengue. Hivyo njia madhubuti na ya kipekee ni kujiepusha na kungwata na mbu aina ya Aedes aegypti. Kwa kutokomeza mazalia yote ya mbu karibu na maeneo unayoishi. Mbu hawa wanang'ata wakati wa mchana tofauti na mbu wanaoleta malaria ambao hung'ata wakati wa usiku.



                   

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 166

Post zifazofanana:-

mchango
Soma Zaidi...

Fahamau protini na kazi zake, vyakula vya protini, na athari za upungufu wake.
unayopaswa kuyajuwa kuhusu protini na vyakula vya protini, faida zake na hasara zake. Madhara ya kiafya yanayohusiana na protini pamoja na kuyaepuka madhara hayo Soma Zaidi...

Hadithi Ya 31: Upe Ulimwengu Kisogo Allaah Atakupenda
Soma Zaidi...

Mafunzo Yatokanayo na Historia ya Nabii Lut (a.s)
(i) Tujitahidi kwa kadiri ya uwezo wetu kuondoa maovu katika jamii kwa mikono yetu na ikiwa hatuwezi tuyakemee kama alivyofanya Nabii Lut(a. Soma Zaidi...

NAMNA AMBAZO DUA HUJIBIWA
NAMNA AMBAYO ALLAH HUJIBU DUA. Soma Zaidi...

Hijabu na kujikinga na zinaa
Soma Zaidi...

Kwa nini lengo la kutoa zaka halifikiwi na watoaji zaka?
Kwa nini Lengo la Zakat na Sadaqat Halijafikiwa katika Jamii yetu? Soma Zaidi...

HADITHI YA MVUVI NA JINI
Download kitabu Hiki Bofya hapa HADITHI YA MVUVI NA JINI Hapao zamani kulikuwepo na mvuvi aliyekuwa masikini wenye watoto watatu na mke mmoja. Soma Zaidi...

DUA ZA WAKATI WA HASIRA
DUA ZA WAKATI UNAPOKUWA NA HASIRA. Soma Zaidi...

Matukio mbalimbali katika historia ya uislamu kabla na baada ya Mtume (s.a.w) na makhalifa wake wanne
1. Soma Zaidi...

dondoo 100 za Afya
Basi tambua haya;- 21. Soma Zaidi...

Ni wakina nani ni lazima kwao kufunga ramadhani?
Soma Zaidi...