MAHUSIANO YA VIJANA WAWILI


image


Posti hii inahusu zaidi mahusiano yaliyotokea kati ya vijana wawili ila yanafika baadae mmoja akamsaliti mwenzake.


Mahusiano ya vijana wawili.

1. Palikuwepo na vijana wawili mmoja aliitwa Jackie na mwingine Julius, vijana hao walikutana shuleni wote kuanzia chekechea mpaka darasa la saba, kitabia walikuwa na tabia tofauti kabisa, Jackie alikuwa mchangamfu sana ila Julius alikuwa mpole mno mzito na kwa ujumla ufaulu wake darasani haukua mzuri kuanzia darasa la tano mpaka la saba alianza kuchangamka na kufaulu kidogo kidogo.

 

 

 

 

 

2. Wakati wako primary ila shule ilikuwa ni shule ya kulala walipokuwa wanafunga Jackie alikuwa anaenda kwa bibi na Julius kwao ila hawakujua ya

 kwamba walikuwa majirani, ila walipomaliza darasa la saba ndipo waliona wazazi wao wanakuja kwa wakati mmoja na watoto hawakujua kabisa kwamba walikuwa majirani kwa hiyo tangia siku hiyo wakajua na na wakaenda nyumbani wakakuta kuwa ni majirani wakaanza kutembeleana na kuangalia move kipindi wazazi wako kazini.

 

 

 

 

 

3. Basi katika kukaa wenyewe katika kipindi cha likizo ya baada ya darasa la saba wakisubiri matokeo ya kwenda sekondari wakaanza mahusiano kati yao na waliwashawishi wazazi kuwapeleka shule moja ya sekondari wakaenda wanajitambulisha kama ni ndugu pale shuleni wakasomo ila Jackie alikuwa na akili sana kuliko mwenzake na pia alikuwa na wivu kupita kiasi mpaka akikuta msichana anaongea na Julius alikuwa anachukia mpaka anazimia.

 

 

 

 

 

4. Kwa hiyo na ufaulu wa jack ulishuka mno yaani kutoka wa kwanza mpaka kuacha watu wawili nyuma ili kuwa wa mwisho ni kwa sababu ya wivu kwa Julius basi mama akafanya mpango wa kumwamisha mwanael ili mvulana nnaye akafanya mpango akaenda shule  ya jack alipohamia na wakaenda wote shule moja wala na  wakaendelea na mahusiano kawaida.

 

 

 

 

 

5. Yaani walikuwa na tabia hiyo ya kutembea wameshikana mikono na baadae waalimu hawakuelewa kwa sababu ya upendo kati kati.

 

 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    3 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    6 Jifunze fiqh    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Ujio wa wageni wa baraka
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

image Hadithi ya aladini na taa ya mshumaa wa ajabu
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi ya aladini na taa ya mshumaa wa ajabu Soma Zaidi...

image Hadithi ya tabibu wa mfalme
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

image Hadithi ya Khalid mwenye kuneemeshwa na Jalid
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

image Hatma ya kinyozi maishani mwangu
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

image Hadithi ya binti mwenye kufichwa mtoto wa mfalme
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

image NIMLAUMU NANI ( sehemu ya tatu)
Post hii inahusu mwendelezo wa hadithi ya kijana Frank na Amisa pia na wapenzi wawili ambao ni James na Amina. Soma Zaidi...

image Muendelezo wa hadithi ya mshona nguo
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

image Kisiwa cha uokozi
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo wa safari saba za Sinbad Soma Zaidi...

image Hadithi ya aliyekatwa vidole gumba
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...