Majani ya mstafeli dhidi ya bakteria na fangasi

Posti hii inahusu zaidi kazi ya majani ya mstafeli dhidi ya bakteria na fangasi, pamoja na kutibu saratani mbalimbali na upambana na fangasi na bakteria kama tutakavyoona.

Majani ya mstafeli dhidi ya bakteria na fangasi.

1. Majani ya mstafeli utibu au usaidia kwa wale wenye tatizo la kupata choo kigumu.

 

 

2. Majani ya mstafeli usaidia wagonjwa wa kisukari.

 

 

3. Majani ya mstafeli usaidia au uongeza kinga ya mwili.

 

 

4. Majani ya mstafeli usaidia kwa wale wenye matatizo ya kuumwa na tumbo na kuharisha.

 

 

.5. majani ya mstafeli usaidia kuondoa na upele kwenye ngozi.

 

 

 

6. Majani ya mstafeli usaidia kwa wale wenye maumivu ya mgongo.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/14/Thursday - 06:31:02 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1489


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-