Posti hii inahusu zaidi maji ya Amniotic ni maji ambayo uzunguka mtoto na kufanya kazi mbalimbali kama ifuayavyo.
Kazi za maji ya Amniotic
1. Yanazuia mtoto kutokana na hatari zozote.
Maji haya umsaidie mtoto kutokana na hatari mbalimbali ambazo zinaweza kuleta madhara makubwa kwa mtoto, kwa mfano Kuna familia nyingine ambazo wazazi wanagombana mara kwa mara wakati mwingine mama anaweza kupigwa kwenye tumbo lakini mtoto hawezi kupata madhara yoyote kwa sababu ya kuwepo kwa maji ya Amniotic fluid,kwa hiyo maji haya ni ya maana kwa mtoto kwa sababu umkinga mtoto dhidi ya uharibifu wowote.
2. Umsaidie mtoto aweze kujongea akiwa tumboni.
Mtoto akiwa tumboni ujongea kutoka sehemu Moja kwenda sehemu nyingine kwa hiyo mtoto utembea kutoka sehemu Moja kwenda nyingine kwa kutumia maji ya Amniotic fluid, tuliwahi kusikia kuwa mtoto huwa anatembea akiwa tumboni kwa kupitia maji haya mtoto uweza kutembea kutoka sehemu Moja kwenda sehemu nyingine.
3.Maji ya Amniotic fluid umsaidie mtoto kuwa na temperature ambayo ni sawia kwa hiyo Kuna Temperature ambayo uhitajika kwa mtoto Ili aweze kuishi vizuri akiwa tumboni kwa hiyo haya Maji umfanya mtoto kuwa na joto linalohitajika ambalo haliwezi kupungua au kuongezeka zaidi kwa hiyo kwa kuwepo kwa maji haya joto la mwili ubaki lilies sawia.
4. Maji ya Amniotic fluid I usaidia mtoto aweze kupata chakula chake, tukumbuke kuwa maji haya ni masafi sana ingawa mtoto ukaa ndani yake kwa hiyo mtoto anaweza kupata chakula chake kupitia maji haya ambayo ukaa ndani ya mtoto kwa hiyo kupitia maji haya mtoto uweza kupata chakula chake.
5. Maji ya Amniotic fluid usaidia kutoa uchafu kutoka kwa Mtoto kwenda kwa Mama kwa ajili ya kufanya mazingira kuwa Safi, kwa sababu ya kuwepo kwa uchafu kwa mtoto uchafu huo utolewa kupitia kwenye placenta na pia kwenye maji ya Amniotic fluid uchafu nao unaweza kupitia kwa hiyo tunaona maji haya yalivyo na faida kwa mtoto akiwa tumboni.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
dalili za mimba zinaweza kuwa na mkanganyiko kwani zinafanana na shida nyingine za kiafya. Hali hii utaigunduwa endapo utakuwa na dalili za mimba lakini kila ukipima hakuna mimba.
Soma Zaidi...Inatakiwa angalau nafasivkati ya mtoto na mtoto wapishane miaka miwili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mapendekezo muhimu kwa wajawazito, haya ni mapendekezo yaliyotolewa na wataalamu wa afya ili wajawazito waweze kule mimba zao vizuri na kuweza kujifungua vizuri na kupata watoto wenye afya njema na makuzi mazuri pasipokuwepo na ule
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia za uzazi wa mpango unavyofanya na mwanaume kushiriki, ni njia ambayo umfanye mwanaume awe mhusika hasa wakati wa kujamiiana.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi watu ambao hawapaswi kutumia njia za uzazi wa mpango, Ni watu ambao Wana matatizo mbalimbali endapo wakitumia wanaoweza kuleta madhara mbalimbali.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea ugonjwa wa kisukari wakati mama akiwa mjamzito.na yafuatayo ni Mambo hatari yanayotokea wakati Mama akiwa na ujauzito.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi njia mbalimbali ambazo mtoa huduma anaweza kuzitumia kuangalia kama mtoto amevunjika baada ya kuzaliwa.
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza kujiepusha na maradhi ya ini
Soma Zaidi...