MAKUNDI YA DINI ZA WANAADAMU


image


Kwenye kipengele hichi tutajifunza makundi ya dini za watu. Na makundi hayo ni matatu.


  •    Makundi ya Dini za wanaadamu (watu):

      Dini za wanaadamu zimegawanyika makundi makuu matatu;

  1. Dini ya Ukafiri

– Ni utaratibu wa maisha ulioundwa katika misingi ya kukanusha muongozo wa Allah (s.w) na Mitume wake.

 

2.Dini ya Ushirikina

– Ni utaratibu wa maisha uliofumwa katika misingi ya kumshirikisha Allah (s.w) na miungu wengine.

 

3.Dini ya Utawa

– Ni utaratibu wa maisha ambao wafuasi wake hujitenga mbali vitu vizuri na harakati za kumletea mwanaadamu maendeleo hapa ulimwenguni.

 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    3 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    4 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    5 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    6 Magonjwa na afya    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Aina za hadithi
Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Swala ya jamaa.
Kipengele hiki tutajifunza kusimamisha swala ya jamaa,swala za ijumaa. Soma Zaidi...

image Mafunzo ya sura zilizochaguliwa
Quran (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Kuandaliwa kwa Muhammad kabla ya kupewa utume
Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Nguzo za imani
Zifuatazo Ni nguzo za imani (EDK form 2: elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Hadithi ya pili: sifa za muumini wa kweli
Sunnah na hadithi (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Mali zinazojuzu kutolewa zaka, nisaab yake na viwango vyake
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Umuhimu na nafasi za hijjah katika uislamu
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu
Faradhi kwa maiti ya muislamu (edk form 2:dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Nguzo za swala ya maiti
Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...