Makundi ya Id-ghamu katika usomaji wa Quran Tajwid

Kama tulivyoona kuwa id-ghamu ipo katika aina kuu mbili ambazo ni id-ghamu bighunnah na id-ghamu bighair ghumnah. Sasa hapa tutajifunza makundi mengine ya idhgamu.

Makundi ya id-ghamu ni: 

 

 
1.Idghaamu Kaamil
Hii huitwa idgham iliyokamilika ambayo pia inaweza kugawanyika katika makundi mawili ambayo ni;-
idgham kaamil bighunnah.:
 
Hii hutokea pale nun sakina au tanwiyn zinapokutana na Ù† na Ù… . Hapa kutakuwa na idgham pamoja na kutia ghunnah yaani kunung’unisha nun sakina au tanwiyn.
 
 
Idghaamu Kaamil Bighayri Ghunnah: hii hutokea pale nun sakina au tanwiyn inapokutana na ر Ù„. Hapa kutakuwa na idgham ila bila ya kunung’unisha nun sakina au tanwiyn.
 
Mifano ya idgham kaamil
 
2.idghaamu naaqisw.
Hii hutwa idghamu iliyopunguwa, na hutokea pale nun sakina au tanwiyn inapokutana na Ùˆ ÙŠ. Imeiytwa ni pungufu kwa sababu inakuwepo idgham bila ya kupoteza sifa ya nun sakina au tanwin.

Mifano:
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Quran Main: Dini File: Download PDF Views 2008

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉2 Kitau cha Fiqh    👉3 Kitabu cha Afya    👉4 Bongolite - Game zone - Play free game    👉5 kitabu cha Simulizi    👉6 Madrasa kiganjani   

Post zinazofanana:

Sababu za kushuka surat an-Nas na surat al Falaq

Sura mbili hizi pia hujulikana kwa jina la al muawidhatain ambazo ni surat an Nas na surat al falaq.

Soma Zaidi...
quran na sayansi

YALIYOMONENO LA AWALI1.

Soma Zaidi...
Tofauti kati ya sura za makkah na madinah

Quran (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...
As-Sab nuzul

Sababu za kuteremshwa baadhi ya sura Katika darsa hii tutaangalia sababu za kushuka kwa aya na sura ndani ya quran.

Soma Zaidi...
Fadhila za kusoma surat al Imran

Post hii itakufundisha fadhila na faida za kusoma surat al Imran

Soma Zaidi...
WAQFU WAL-IBTIDAAI

Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa

Soma Zaidi...
Kukusanywa na kuhifadhiwa kwa quran

Quran (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...