MALARIA NI NINI? NI WATU WANGAPI WANAKUFA KWA MALARIA DUNIANI
Malaria ni katika maradhi yanayosumbua sana na kusababisha maradhi ya watu wengi sana duniani.
UGONJWA WA MALARIA NI NINI?
Malaria ni katika maradhi yanayosumbua sana na kusababisha maradhi ya watu wengi sana duniani. Malaria ni katika maradhi yanayopatikana katika maeneo yenye joto, hususani maeneo yenye uoto wa kitropiki. Miongoni mwa maeneo ambayo yanasumbuliwa zaidi na malaria ni bara la Afrika.
Inakadiriwa kuwa mila mwaka watu milioni 210 (210,000,000 wanapata malaria kila mwaka na kati ya hao watu laki nne na elfu arobaini (440,000) wanakufa kwa ugonjwa huu kila mwaka na wengi wao ni watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.
Mpaka sasa bado hakuna chanjo ya malaria ijapokuwa wataalamu wa afya wanajitahidi kuitafuta chanjo yake. Miili inaweza kutengeneza njianjo yao wenyewe japo ni ya muda na sio ya kuzuia malaria kabisa isipokuwa inaweza kupunguza athari za ugonjwa huu. Na hii ndio maana matu anaweza kuishi na malaria kwa muda mrefu bila ya kuumwa hasa.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 web hosting 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Njia za Kuongeza Hamu ya Mapenzi kwa Mwanaume
​Kupungua kwa hamu ya mapenzi kwa mwanaume ni jambo linaloweza kusababishwa na mambo ya kisaikolojia, kimwili, au mtindo wa maisha. Makala haya yatajadili njia madhubuti za kuboresha hamu ya mapenzi kupitia mabadiliko ya afya, lishe, na mawasiliano.
Soma Zaidi...Vitu vinavyochochea kuwepo kwa Ugonjwa wa ukimwi.
Posti hii inahusu zaidi vitu ambavyo vinasababisha kuongezeka kwa Ukimwi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na baada ya watu kujua Ugonjwa huu na matokeo ila bado ugonjwa unazidi kuongezeka.
Soma Zaidi...Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces
Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces, hawa ni fangasi wanaosababisha maradhi yajulikanayo kama blastomycosis.
Soma Zaidi...DALILI ZA MINYOO: maumivu ya tumbo, kichwa, kuwashwa, kutapika damu, moyo kuumwa, ukuaji hafifu, udhaifu na kuchoka
DALILI ZA MINYOO Wakati mwingine ni vigumu sana kujua kama una minyoo, kwani minyoo wanaweza kukaa ndani ya mwili kwa muda mrefu bila ya kuonesha dalili yeyote, ama madhara yeyote.
Soma Zaidi...Sababu za mtu kuwa na mfadhaiko au wasiwasi
Post hii inahusu sababu za mtu kuwa na mfadhaiko na wasiwasi, mfadhaiko ni nguvu fulani anayoisikia ndani mwake kwa sababu ya tukio la kushutushwa linalomfanya afikilie sana,
Soma Zaidi...Dalili za kuvimbiwa kwa watoto.
Kuvimbiwa kwa watoto ni shida ya kawaida. Kuvimbiwa kwa watoto mara nyingi huonyeshwa na kinyesi kisicho kawaida au kinyesi ngumu na kavu.
Soma Zaidi...