UGONJWA WA MALARIA NA TAKWIMU ZA ATHARI YAKE KIDUNIA
Malaria ni katika maradhi ambayo husambazwa na na mbu jike aina ya anopheles.
4. MALARIA
Malaria ni katika maradhi ambayo husambazwa na na mbu jike aina ya anopheles. Kutokana na shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia afya (WHO) limetoa takwimu kuwa karibia watu milioni 300 mpaka 500, huathirika na ugonjwa wa malaria kila mwaka duniani. Na baadhi ya tafiti zinaonyesha kuwa yapata watu 470,000 wanafariki kwa ugonjwa wa malaria kila mwaka.
Ugonjwa wa malaria ulishakuwepo duniani toka zamani sana. Tafiti zinathibitisha kuwa malaria ilishakuwepo yapata miaka 2700 K.K yaani miaka 2700 kabla ya kuzaliwa kwa yesu. Na ndio maana kuna dawa nyingi za kienyeji ambazo zinatibu malaria, kwani wazee walishaugua ugonjwa huu toka zamani sana.
Dalili za malaria ni kama homa, maumivu ya viungo, viungio na mvurugiko wa tumbo. maumivu ya kichwa, kutapika ama kichefuchefu. Kutokwa na jaho na kukosa hamu yakula. Kuhisi baridi kali sana na kutetemeka. Kama mgonjwa atachelewa kutibu dalili hizi anaweza kuchanganyikiwa, kushindwa kupumua na hatimaye kifo. Kuusoma zaidi bofya hapa
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 ai web app 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa
Soma Zaidi...Kujiepusha na Vishawishi vya Zinaa
Kujiepusha na Vishawishi vya ZinaaKatika macho ya sheria kitendo cha zinaa kinahesabiwa pale wanapokutana kimwili mwanamume na mwanamke nje ya ndoa.
Soma Zaidi...