MARADHI MAKUU HATARI MATANO (5) YANAYOENEZWA KWA KUNG'ATWA NA MBU (malaria ndio inachukua nafasi ya kwanza)
1.
MARADHI MAKUU 13 YANAYOENEZWA NA MBU
Mbu ni mdudu anayeongoza kwa kusababisha vifo vya watu wengi duniani. zaidi ya watu miliono mia mbili wanaathiriwa na maradhi yaletwayo na mbu kila mwaka duniani. Katika makala hii nitakwenda kukuletea maradhi ambayo yanasambazwa na mbu:- 1. VIRUSI VYA ZIKA (ZIKV)
2. HOMA YA DENGUE
3. HOMA YA CHIKUNGUNYA (CHIKV)
4. MALARIA
5. HOMA YA BONDE LA UFA (RVFD)
6. MENGINEYO
7. KWA NINI MBU HAWEZI KUAMBUKIZA HIV
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 web hosting 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
DALILI ZA SELIMUDU
Posti hii inazungumzia ishara na dalili za SELIMUDU ambao kitaalamu huitwa Sickle cell Anemia.selimudu ni aina ya kurithi ya Anemia — hali ambayo hakuna chembechembe nyekundu za damu zenye afya za kutosha kubeba oksijeni ya kutos
Soma Zaidi...Vidonda vya miguuni kwa wagonjwa wa kisukari.
Kwa nini vidonda vya miguuni ni hatari sana kwa mgonjwa wa kisukari? Sababu kuu ni mbili: Uharibifu wa neva (neuropathy) na mzunguko hafifu wa damu. Mgonjwa anaweza kujikata au kupata malengelenge na asihisi maumivu yoyote, hivyo kidonda kinakua na kuambukizwa bila yeye kujua. Makala haya yanakupa mwongozo wa jinsi ya kulinda miguu yako na nini cha kufanya jeraha linapotokea.
Soma Zaidi...Sababu za maumivu wakati wa kujamiiana
​Maumivu wakati wa kujamiiana (kitaalamu dyspareunia) ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi, ingawa mara nyingi halizungumzwi wazi kutokana na unyanyapaa au aibu. Maumivu haya yanaweza kusababishwa na sababu za kisaikolojia, matatizo ya kimwili, au mabadiliko ya kihomoni. Makala haya yanachambua vyanzo vikuu vya maumivu hayo na kutoa ukweli wa kisayansi (Fact Check) ili kukusaidia kujua hatua za kuchukua.
Soma Zaidi...Makosa Yanayofanywa na Wapenzi Wengi
Mahusiano ni safari ya kujifunza kila siku. Makala hii inachambua makosa ya kawaida yanayoweza kuathiri ustawi wa mahusiano, ikitoa mwongozo wa jinsi ya kuyatambua na kuyafanyia kazi ili kujenga uhusiano imara na wenye furaha.
Soma Zaidi...Fangasi wa sehemu za Siri
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu fangasi wa sehemu za Siri
Soma Zaidi...