UGONJWA WA HOMA YA VIRUSI VYA ZIKA (ZIKV) VINAVYO SABABISHWA NA KUNG'ATWA NA MBU
Mnamo mwaka 2016 World Health Organization (WHO) iliitisha kikao cha dharura mnamo mwezi tarehe 1 mwezi wa pili mpaka tarehe 13 mwezi wa nne.
1. VIRUSI VYA ZIKA (ZIKV)
Mnamo mwaka 2016 World Health Organization (WHO) iliitisha kikao cha dharura mnamo mwezi tarehe 1 mwezi wa pili mpaka tarehe 13 mwezi wa nne. katika kikao hiki ilitangazwa kuwa virusi vya ZIKA husambazwa na mbu aina ya Aedes aegypti.
Virusi vya zika husababisha kuzaliwa kwa watoto wasio wa kawaida kama vile watoto kuwa na vichwa vidogo ni athari ya virusi hivi. kwa sasa virusi hivi vimesambaa zaidi ya nchi 40 duniani. mbu hawa si kama wa malaria ambao hung'ata wakati wa usiku, mbu wanaobeba virusi wa zika wanang'ata wakati wa mchana.
miongoni mwa dalili za uwepo wa virusi hivi mwilini hufanana sana na dalili za malaria ijapo kuna utofauti kiasi. Dalili za uwepo wa virusi hivi ni kama:-
- homa
- mapele
- athari kwenye macho
- maumivu ya kichwa
- maumivu ya misuli na viungio
Dalili hizi hizi huanza kutokea baada ya siku 3 mpaka 12 baada ya kupata virusi hawa. Ila tafiti zinaonesha kuwa yapata asilimia 80% ya watu wenye virusi hivi hawaonyeshi dalili yeyote na hawajui kama wana virusi hivi. Tofauti na kuwa virusi hawa wanasambazwa na mbu lakini pia tafiti zinathibitisha kuwa ngono pia huweza kuambukiza virusi hivi.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 web hosting π2 Simulizi za Hadithi Audio π3 Dua za Mitume na Manabii π4 kitabu cha Simulizi π5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina π6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Dalili za mnungu'nguniko wa moyo
Manung'uniko ya moyo ni sauti wakati wa mzunguko wa mapigo ya moyo wako kama vile kutetemeka inayotolewa na damu yenye msukosuko ndani au karibu na moyo wako.
Soma Zaidi...Kutetemeka kwa mikono au mwili bila sababu.
Kutetemeka (tremor) ni miondoko isiyo ya hiari ya sehemu yoyote ya mwili, kwa kawaida mikono, kichwa, au sauti, inayotokana na mikazo ya misuli ya mara kwa mara. Ingawa wengi huhisi ni tatizo la wazee pekee, linaweza kutokea kwa mtu yeyote na kwa sababu mbalimbali. Makala haya yanafafanua sababu za kutetemeka, kuanzia hali za kawaida za muda mfupi hadi changamoto za neva zinazohitaji matibabu.
Soma Zaidi...Dalili za maumivu yanayosababishwa na mtiririko mdogo wa Damu.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na maumivu yanayosababishwa na mtiririko mdogo wa damu, kwa kawaida wakati wa mazoezi. Wakati mwingine huitwa upenyo wa vipindi, hali hii kwa ujumla huathiri mishipa ya damu kwenye miguu, lakini upenyo unaweza kuathiri mi
Soma Zaidi...Sababu za Hedhi Kuchelewa Bila Mimba
βKuchelewa kwa hedhi ni jambo linaloweza kuleta hofu na wasiwasi, hasa kwa wanawake wanaohisi kuwa mimba ndiyo sababu pekee. Hata hivyo, kuna sababu nyingi za kibiolojia na mtindo wa maisha zinazoweza kusababisha mzunguko wa hedhi kuvurugika. Post hii inachunguza visababishi hivi na kutoa mwongozo wa wakati mwafaka wa kuona daktari.
Soma Zaidi...Madhara ya gonorrhea endapo haitotibiwa
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya gonorrhea endapo haitotibiwa
Soma Zaidi...