MALEZI YA MTUME


image


Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu)


 

 

  • Malezi ya Mtume (s.a.w).

-    Muhammad (s.a.w) baada ya kuzaliwa, alinyonyeshwa na kulelewa na Bibi Halimah bint Dhayb kutoka mji wa Taif, kutokana na hali ya hewa safi ya huko mpaka alipofikia umri wa miaka miwili.

 

-    Muhammad (s.a.w) alirejeshwa Makka na alikaa na mama yake muda wa miaka 6 naye alifariki 576 A.D. hapo akawa chini ya malezi ya babu yake Abdul-Muttalib aliyefariki mwaka 578 A.D.  Muhammad (s.a.w) akiwa na miaka 8.

 

-    Baada ya kufariki babu yake, Muhammad (s.a.w) akawa chini ya malezi ya ami (baba mdogo) yake Abu Talib mpaka alipopata Utume. 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    4 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    5 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Maana ya kumuamini mwenyezi Mungu (s.w) katika maisha ya kila siku
Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Umuhimu wa funga ya ramadhan
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Aina za hijjah
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Mgawanyo wa elimu usiokubalika katika uislamu
Mgawanyo wa elimu usiokubalika katika uislamu Ni upi? (EDK form 1: mgawanyo wa elimu usiokubalika katika uislamu) Soma Zaidi...

image Umuhimu wa jihad katika kusimamisha uislamu katika jamii
Dini anayostahiki kufuata mwanadamu (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Shahada mbili
Kwenye mada hii tutajifunza shahada mbili,tafsiri ya shahada kstika maisha ya kila siku. Soma Zaidi...

image Nguzo za imani
Zifuatazo ni nguzo za imani (EDK form 2: elimu ya dini ya kiislamu) Soma Zaidi...

image Ni lipi lengo la Elimu katika yislamu?
Ni lipi lengo kuu la Elimu katika uislamu (Edk form 1 Dhanaya Elimu) Soma Zaidi...

image Mgawanyo sahihi wa elimu kwa mtazamo wa uislamu
Ni upi mgawanyo sahihi wa elimu katika uislamu? Nini naana ya elimu ya muongizo. Je elimu ya mazingiravmaana yakeni nini. Ni upi utofauti wa elimu ya muongozo na elimu ya mazingira? Soma Zaidi...

image Mambo ya lazima kufanyiwa maiti ya muislamu
Mambo ya faradhi kuhusu maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...