MALI ZINAZOJUZU KUTOLEWA ZAKA, NISAAB YAKE NA VIWANGO VYAKE


image


Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)


  • Mali zinazojuzu kutolewa zaka, Nisaab zake na Viwango vyake.

Rejea Jedwali lifuatalo na pia katika Kitabu cha 2; EDK, uk. 80-87.

Na.

Mali zinazojuzu kutolewa Zakat

Nisaab (Kiwango)

Kiasi (%)

Muda wa Kutoa

1.

Mazao yote ya shambani.

Wasaq 5 au kg 666

 

(Wasaq 1 = 133.5kg)

  1. Kg 66.6 au ½             wasaq kwa mazao ya maji ya mvua.
  2. Kg 33.3 au ¼ wasaq kwa mazao yaliyomwagiliwa.

Baada ya mavuno

2.

Wanyama wafugwao kwa ajili ya chakula:

(a) Ngamia 

(b) Ng’ombe 

(c) Mbuzi 

(d) Kondoo

(e) Kondoo au Mbuzi

 

Ngamia 5

Ng’ombe 30

Mbuzi 40

Kondoo 40

Kondoo au Mbuzi 40

 

Mbuzi 1 wa mwaka 1

Ndama 1 wa mwaka 1

Mbuzi 1 wa mwaka 1

Kondoo 1 wa mwaka 1

Kondoo au mbuzi 1 wa mwaka 1

Baada ya mwaka

3.

Dhahabu na Vito

Gram 82.5 au tola 7.5

2.5 % au 1/40 ya thamani ya mali

Baada ya mwaka

4.

Fedha na Vito

Gram 577.5 au tola 52

2.5 % au 1/40 ya thamani ya mali

Baada ya mwaka

5.

Mali ya Biashara 

Sawa na thamani ya Nisaab ya Dhahabu au Fedha.

2.5 % au 1/40 ya mali

Baada ya mwaka

6.

Fedha taslimu

Sawa na mali ya Biashara

2.5 % au 1/40 ya fedha

Baada ya mwaka

7.

Mali ya kuokota au kuchimbuliwa ardhini

Haina 

20 % au 1/5 ya mali 

Baada ya kuokotwa na kukosa mwenyewe au baada ya kuchimbuliwa.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    3 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    4 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    5 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Sanda ya mwanaume na namna ya kumkafini
Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Lengo la hijjah na matendo ya ibada ya hijjah na mafunzo yatokanayo
Nguzo za uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Tofauti kati ya sura za makkah na madinah
Quran (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Kwanini funga imefaradhishwa mwezi wa ramadhani
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Masharti ya utoaji wa zakat na sadaqat
Nguzo za uislamu, masharti ya utoaji wa zakat na sadaqat (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Aina kuu za dini
Katika kipengele hichi tutajifunza aina kuu mbili za dini. Soma Zaidi...

image Tawhiid
Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Mbinu walizotumia makafiri wa kiqureish katika kuupinga uislamu makkah
Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Hijjah
Nguzo za uislamu (EDK form 3:dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image NJIA ZA KUMJUA MWENYEZI MUNGU (S.W)
Zifuatazo ni njia nyingi za kumjua Mwenyezi Mungu (EDK form 2:dhana ya elimu katika uislamu) Soma Zaidi...