Mama mjamzito anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa mpaka siku ya kujifungua Kama mume wake pamoja na yeye akiwa Hana maambukizi ya zinaa na Kama akiona dalili zozote zile za hatari ndio hataruhusiwa kushiriki tendo la ndoa.
Je, mama mjamzito anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa mpaka lini?
Hili swali linaloulizwa na wengi Sana lakini Kuna baadhi ya jamii huwa wanaami desturi na Mila potofu Imani potofu Kama vile ;
1.mjamzito akifanya mapenzi mimba inaweza kutoka iyo sio kweli Bali hupanua Njia ya mama kumrahisishia kujifungua kwa haraka.
2.pia wanaamini kuwa mjamzito akifanya mapenzi Mtoto atapata maambukizi iyo sio kweli kwasababu Mtoto huwa yupo mwenye mfuko wake na hawezi kupata maambukizi.
3.wanaamini kuwa mjamzito akifanya mapenzi kuwa atapata mimba Mara mbili au hupelekea kupata mapacha iyo sio kweli kwasababu ukuta wa uteras unakuwa ushajifunga hivyo amna sparm inayoweza kuingia na kupelekea mimba nyingine .
4.wengine huamini kuwa Mtoto anaweza kuumia nayo sio kweli.
5.chupa huweza kupasuka nayo sio kweli.
6.wengine huamini kuwa mimba itatoka
Mama mjamzito anatakiwa kuwa makini Kuna Mambo ambayo yakijitokeza hatakiwi kufanya tendo la ndoa na anatakiwa kuwahi kwenye kituo Cha afya ikiwa akiona dalili Kama hizi ;
1. Kutokwa na Damu ukeni wakati wa ujauzito.
2.kama kondo la nyuma la mama limejishikiza karibia ni kwenye mlango wa Uzazi
3.mimba Kuharibika au ikitishia kutoka.
4.mama ambaye ana historia ya mimba kutoka Mara kwa Mara.
5.kama mama ana kichefuchefu,kutapika,Hana hamu ya tendo la ndoa Mara nyingi hutokea mimba ikiwa na miezi mitatu nayo anatakiwa asishiriki tendo la ndoa ili asubirie homoni zikae sawa
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zinaweza kutokea kwa sababu ya kuziba kwa mishipa ya uzazi, ni baadhi ya dalili ambazo ujitokeza kwa sababu ya kuwepo kwa tatizo la kuziba kwa mishipa ya uzazi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za kuziba kwa mrija wa kizazi ambayo kwa kitaalamu huitwa follapian tube, ni sababu ambazo ufanya mirija ya follapian tube kuziba.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo mtu anaweza kupata ikiwa mwili utaeweza kutengeneza progesterone ya kutosha.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu msaada kwa mwenye maumivu ya tumbo la hedhi, hizi ni huduma ambazo utolewa kwa wale wenye maumivu ya tumbo la hedhi.
Soma Zaidi...Dalili za mwanzo za ujauzito zinaweza kuwa ni changamoto kwamwanamke hasa ikiwa ndio mimba yake ya kwanza. Maumivu ya tumbo, kujaa kwa tumbo gesi, kukosa choo ama hamu ya kula na kadhalika huweza pia kuambatana na ujauzito.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi magonjwa madogo madogo kwa akina Mama wajawazito, ni magonjwa ambayo hayawezi kupelekea kupoteza maisha kwa Mama mjamzito, magonjwa haya upotea ikiwa Mama atajifungua.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa Ugonjwa wa fangasi,ni sababu mbalimbali ambazo zinaweza kusababisha fangasi.
Soma Zaidi...