Mambo muhimu kuhusu mbegu za kiume

Post hii inahusu zaidi mambo muhimu ambayo tunapaswa kujua au kufahamu kuhusu mbegu za kiume, kwa kuwa mbegu za kiume usaidia katika utungaji wa mimba kwa hiyo ni vizuri kabisa kuzitunza Ili kuweza kuepuka matatizo mbalimbali ambayo yanaweza kutokea kwa s

Mambo muhimu kuhusu mbegu za kiume.

1.  Achana na uvutaji wa sigara.

Kwa kawaida tunafahamu kuwa kwenye sigara Kuna madini mbalimbali ikitokea yakatumiwa vibaya usababisha mbegu  za kiume kupunguza ubora wake na hatimaye kama mtu alianza mapema kutumia sigara usababisha mbegu za mwanaume kukosa nguvu na kusababisha kuwepo kwa nguvu za kiume kwa wanaume au mwanaume kutoa mbegu ambazo hazijakomaa.

 

2. Epuka matumizi ya mara Kwa mara ya dawa za kuongeza homoni ya testosterone bila ruhusa ya daktari.

Kwa kawaida homoni hii ya testosterone usaidia katika shughuli mbalimbali za kubarehe, Kuna kipindi homoni hii haizalishwi vya kutosha kwa hiyo dawa  mbalimbali zinazotolewa kwa ajili ya kuongeza homoni hii kwa hiyo ili kuendelea au matumizi ya dawa za kuongeza homoni utolewa kwa uangalizi wa daktari kwa hiyo matumizi ya mara kwa mara usababisha uharibifu wa mbegu za kiume.

 

3. Matumizi ya mlo kamili.

Mlo kamili ni ule mlo wenye aina mbalimbali za vyakula yaani kila mlo uwe na mboga za majani na matunda pia kuepuka ulaji wa mlo mmoja kila siku kwa mfano ugali kuanzia asubuhi mpaka jioni.

 

4.Mazoezi yanapaswa kufanyika kwa wanaume.

Kwa kawaida miili yetu imejaa sumu kwa sababu ya kuwepo kwa vyakula mbalimbali na vyenye kemikali ni vizuri kabisa kufanya mazoezi ili kuweza kupunguza sumu mwilini na kufanya kila kitu kikawa chepesi.

 

5. Punguza matumizi ya pombe.

Matumizi ya pombe hasa kwa vinywaji vyenye wingi wa caffeine ya kutosha kwa mfano matumizi makubwa ya soda.

 

6. Tunza vizuri joto la mwili wako.

Acha kuvaa nguo nyingi sana za ndani kwa wakati mmoja na kawaida vaa nguo laini laini.

 

7. Punguza msingo wa mawazo.

Kwa kupunguza mawazo kila kitu kinaweza kuwa sawa na kawaida shirikisha mambo yako yanayokusumbua kwa wengine ili kuweza kuwa huru.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/09/Saturday - 01:06:27 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 902


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-