Mambo ya kufanya kama una kiungulia

Posti hii inahusu zaidi mambo ambayo unapaswa kufanya kama una tatizo la kiungulia.

Mambo ya kufanya kama una kiungulia.

1. Badilisha mfumo wa vyakula achana na vyakula vya sukari na mafuta.

 

 

 

2. Epuka vyakula anavyokula vikaanzisha kiungulia.

 

 

3. Achana na vinywaji vyenye caffeine, kahawa na soda au punguza utumiaji.

 

 

 

4. Kula vyakula kwa utaratibu, tafuna vizuri na meza kwa ustaarabu na usishibe sana.

 

 

 

5. Punguza matumizi ya sigara na pombe.

 

 

 

6. Punguza msongo wa mawazo na tumia vizuri mto wakati wa kulala.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/14/Thursday - 06:22:23 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 804


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-