MAMBO YA KUZINGATIA IWAPO MIMBA IMETOKA.


image


Post hii inahusu zaidi mambo ya kuzingatia iwapo mimba imetoka mambo haya yanaweza yakawahusu akina Mama wenyewe, familia na jamii kwa ujumla.


Mambo ya kuzingatia ikiwa mimba imetoka.

1. Kwanza kabisa tunapaswa kufahamu chanzo cha mimba kutoka nini ni nini? Kama ni mimba ya kwanza mama anapaswa kuwa makini na kufuata utaratibu wa wataalamu wa afya kuhusu ni wakati gani wa kubeba mimba Ili kuweza kuepuka madhara ya kutoka kwa mimba.

 

 

2. Pia Mama aliyetoa mimba anapaswa kuhudumiwa kama mama yule aliyejifungua kwa mfano mimba ikitoka na miezi sita maumivu aliyoyapata yule aliyejifungua na aliyetoa mimba ni Yale Yale na pengine kama vyuma vya kutoa mimba vimetumika maumivu ni makubwa zaidi.

 

3. Pia Mama anapaswa kujua ni wakati gani wa kubeba mimba nyingine, kwa kawaida mama akitoa mimba anapaswa kubeba mimba nyingine baada ya miezi sita kwa sababu mama aliyetoa mimba anaweza kuingia kwenye siku zake za mwezi ndani ya siku ishilini na Moja.

 

4. Pia Mama anapaswa kufahamu kwamba akibeba mimba kabla ya miezi sita anaweza kupata tatizo hilo hilo kwa sababu via vya uzazi na viungo vya kusaidia kushika mtoto vinakuwa bado havijakomaa kuweza kubeba mimba tena na kusababisha kutoka kwa mimba mara nyingine kama mama amebeba mimba kabla ya mda.

 

5. Vile vile jamii inapaswa kuelewa kwamba mimba kutoka sio laana kwa jamii Bali ni kwa sababu mbalimbali kama vile maambukizi, na mambo mengine mengi kwa hiyo jamii inapaswa kutoa Mila potofu na kuwepo kwa ushirikiano kwa mama na familia kwa ujumla.



Sponsored Posts


  πŸ‘‰    1 Maktaba ya vitabu       πŸ‘‰    2 Mafunzo ya php       πŸ‘‰    3 Hadiythi za alif lela u lela       πŸ‘‰    4 Mafunzo ya html kwa kiswahili       πŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       πŸ‘‰    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Lishe salama kwa mjamzito
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu lishe salama kwa mjamzito Soma Zaidi...

image Vyanzo vya kuharibika kwa mimba ya miezi kuanzia 0-3
Posti hii inahusu zaidi vyanzo vya kuharibika kwa mimba kuanzia miezi zero mpaka miezi mitatu, kwa sababu hii ni miezi ya kwanza kabisa Kuna sababu au vyanzo vya kuharibika kwa mimba katika kipindi hiki. Soma Zaidi...

image Dalili za upungufu wa homoni ya projestron
Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zinaweza kutokea iwapo Kuna upungufu wa homoni ya progesterone. Soma Zaidi...

image Mimi nilipima na kipimo mwenyewe nkakuta mistari miwili iliokoza lkn nikifanya tendo nakua naumia sana tatizo ni Nini docta
Je anapatwa maumivu 😭 makali wakati wa tendo la ndoa ama ukiwa katika hedhi? Soma makala hii hadi mwisho Soma Zaidi...

image Vyanzo vya magonjwa yanayotokea kwenye sehemu za siri
Posti hii inahusu zaidi vyanzo vya magonjwa yanayotokea kwenye sehemu za siri,kwa sababu siku kwa siku kuna magonjwa mengi yanayotokea kwenye sehemu za siri ila kuna vyanzo mbalimbali ambavyo usababisha kuwepo kwa magonjwa kwenye sehemu mbalimbali za siri kama tutakavyoona. Soma Zaidi...

image Dalili za mimba kuanzia siku 7 Hadi 14
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba kuanzia siku 7 Hadi 14 Soma Zaidi...

image Mimba kutoka kabla ya umri wake
Posti hii inahusu zaidi kuhusu kwa mimba kutoka kabla ya mda wake,ni kitendo ambacho mimba utoka kabla ya wiki ishilini na na nane. Soma Zaidi...

image Dalili Za hatari ambayo zinaweza kusababisha ugumba
Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo zilijitokeza zinaweza kusababisha ugumba hasa kwa wanawake, kwa hiyo ni vizuri kabisa kuwa makini kwa Dalili hizi hasa kwa wadada, kama kuna uwezekano wa matibabu tibu mapema ili kuepuka tatizo la kuwa mgumba. Soma Zaidi...

image Sababu za kuvimba na maumivu kwenye korodani moja au zote mbili
Post yetu ya Leo inaenda kutufundisha kuhusiana na uvimbe wa korodani moja au ambayo kitaalamu huitwa EPIDIDYMITIS. EPIDIDYMITIS ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa kiume wa uzazi. Epididymis ni mrija (tube) uliyoko nyuma ya korodani ambayo mbegu za kiume huifadhiwa na kusafirishwa. Kazi za korodani hizi kazi yake ni kuhifadhi na kuzalisha mbegu za kiume. Soma Zaidi...

image Uhusiano uliopo kati ya Mama Mjamzito na kibofu cha mkojo.
Posti hii inahusu zaidi uhusiano uliopo kati ya Mama Mjamzito na kibofu cha mkojo.ni mwingiliano unaokuwepo ambao usababisha Mama kukojoa sana wakati wa ujauzito. Soma Zaidi...