image

Mambo ya kuzingatia kabla ya upasuaji,

Upasuaji ni kundi la ki medical linalohusu kutoa kiungo kisichohitajika kwenye mwili.

Mambo ya kuzingatia kabla ya upasuaji

-kuongea na mgonjwa kuhusu yafuatayo

1.Kama mgonjwa abatumia mlo kamili na Hana viashilia vyovyote viavyoonekana wazi

2.kuangalia kama mgonjwa ana damu ya kutosha maana wakati wa upasuaji damu nyingi utumika

3.kuangalia umri wa mgonjwa, kama umri wa mgonjwa ni mkubwa au ni mdogo sana

4.kuangalia maambukizi kama mgonjwa ana virusi vya Ukimwi au ugonjwa mwingineunaoambukiza

5.kuangalia kama mama ana mimba, mama katika upasuaji mama mwenye mimba uangaliwa zaidi

6.kama mgonjwa abatumia pombe na vile vikali ambavyo husababishwa dawa ya usingizi kutokolea vizuri

Namna ya kumtunza mgonjwa aliyetoka kupasuliwa

1.mlaze mgonjwa kiupanda

2.mgonwa asipewa chakula chochote

3.mgonjwa asipewe maji ya kunywa mpaka atakapiruhusiwa na daktari

Kwa ujumla upasuaji sio kitu Cha kawaida tunapaswa kuwaandaa wagonjwa wetu kabla hawajaenda kwenye chumba Cha upasuaji na tuwatunze vizuri wakitoka huko.






           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1345


Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 kitabu cha Simulizi     👉6 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Njia za jumla za kujikinga na magonjwa mbalimbali
Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kujikinga na magonjwa, kwa kawaida tunajua wazi kuwa magonjwa yapo na yanasambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na mengine hayasambai yanaweza kumpata mtu mmoja akapona au magonjwa mengine si ya kupona Soma Zaidi...

Ugonjwa wa degedege na dalili zake
Ugonjwa wa degedege ni ugonjwa unaowapata sana watoto chini ya miaka mitano ingawa na watu wazima wanapatwa na ugonjwa huo Soma Zaidi...

Dalili za selulitis.
Selulitis ni maambukizi ya ngozi ya bakteria ya kawaida, ambayo yanaweza kuwa mbaya. Cellulitis inaonekana kama sehemu nyekundu ya ngozi iliyovimba na inahisi joto na laini. Inaweza kuenea kwa kasi kwa sehemu nyingine za mwili. Cellulitis haienei kuto Soma Zaidi...

Dalili za gonorrhea
Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya dalili za gonorrhea Soma Zaidi...

Dalili za malaria
Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu kwa kitaalamu anaitwa Anopheles.na anasambazwa na mbu jike pale anapotafuta chakula hasa wakati akiwa na mimba. Mbu hawa hupenda kuishi kwenye mnyasi, madibwi haswa kwenye maji yaliyo simama. Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu Ugonjwa wa pre - eclampsia
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa pre- eclampsia ni Ugonjwa ambao uwapata wanawake wajawazito uwapata pale mimba inapofikisha umri wa wiki ishilini, utokea pale ambapo Mama mjamzito huwa na kiwango kikubwa cha shinikizo la damu na pia kuwepo kwa protini Soma Zaidi...

Magonjwa ya moyo
Posti hii inahusu zaidi magonjwa ya moyo, kwa kawaida watu wakisikia habari za magonjwa ya moyo huwa hawaelewi yanakuwaje kuwaje, Leo nataka niwafahamishe kuhusu magonjwa ya moyo na sehemu mbalimbali zinazoathirika. Soma Zaidi...

Dalili na namna ya kujizuia na malaria
Postii hii inshusiana na dalili na ishara za kujikinga au kuzuia malaria kwa Njia mbalimbali. Soma Zaidi...

Habari za leo ndugu zangu mimi Ni dalili zipi hasa za awali zinazoashiria umeambukizwa ukimwi
Anataka kujuwa dalili za awali za kujuwa kuwa umeathirika na UKIMWI Soma Zaidi...

Mtu anaye umwaaa UTI anaweza kuona siku zake?
Kutokuona siku zake mwanamke ni ishara kuwa kuna shida kwenye umfumo wa uzazi. Wakati mwingine kutokuona siku ni ishara ya baraka ya kupata mtoto. Ijapokuwa kuna wengine wanadiriki kutoa mimba kwa sababu zisizo za msingi. Je unadhani UTI inaweza kusababi Soma Zaidi...

dalili za ukimwi kwa mwanaume
Katika post hii utakwenda kujifunza zaidi khusu dalili za ukimwi ama HIV kwa wanaume Soma Zaidi...

Dalili za homa ya ini
Kaika post hii utakwenda kujifunz akuhusu dalili za homa ya ini. Dalili hizi sio lazima zitokee zote. Zinaweza zikatokea baadhi tu na ikatosha kuonjesha kuw auna homa ya ini. Soma Zaidi...