MAMBO YANAYOCHANGIA KATIKA MAKUZI YA MTOTO


image


Post hii inahusu zaidi mambo yanayochangia katika makuzi ya mtoto, mtoto katika makuzi yake anahitaji kutunzwa vizuri Ili akue kwa afya nzuri bila magonjwa


Mambo yanayochangia katika makuzi ya mtoto

  1. Mlo kamili

 Mtoto anapaswa kula chakula chenye virutubisho kufuatana na umri, kama hajafikisha umri wa kula usimpatie chakula acha anyonye mpaka wakati wa kuanzia kula,

2.Magonjwa

 Magonjwa ni shida inayofanya watoto wadumae wasikue kwa wakati, magonjwa kama degedege na malaria na mengineyo

3. Mazingira ya mtoto

Mtoto akiishi mazingira mazuri yenye hewa Safi na mahitaji ya kutosha ataweza kukua vizuri

4. Kuhudhulia kliniki

 Mtoto akiwa anahudhulia kliniki na kufuata maelekeza yote kama vile chanjo, kupima uzito na kupata vidonge vya minyoo ataweza kukua vizuri

5. Uchumi wa familia

Mtoto akitoka familia yenye uchumi mzuri ataweza kukua na kupata mahitaji yote kuliko mtoto akitoka kwenye familia maskini

 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    4 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    5 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    6 Jifunze fiqh    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Kujiandaa kwa ajili ya kumuona daktari
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya mambo ya kujiandaa kwa ajili ya kumuona daktari Soma Zaidi...

image Imani potofu kuhusu madawa ya hospitalini
Post hii inahusu zaidi imani potofu kuhusu madawa yanayotolewa hospitalini, ni imani waliyonayo Watu hasa Watu wa bi vijijini na hata wa mjini nao wameanza kutumia madawa ya miti shamba kwa wingi. Soma Zaidi...

image Namna ya kumtunza mtoto aliyezaliwa
Post hii inahusu zaidi namna ya kumtunza mtoto mchanga aliyezaliwa, ni njia zitoleeazo na wakunga Ili kumtunza mtoto mchanga aliyezaliwa. Soma Zaidi...

image Fahamu Ugonjwa wa kifua kikuu kwa watoto chini ya miaka mitano
Posti hii inaonyesha mambo mbalimbali yanayoweza kusababisha Ugonjwa wa kifua kikuu kwa watoto chini ya miaka mitano. Soma Zaidi...

image Njia za uzazi wa mpango
Posti hii inahusu zaidi kuhusu njia za uzazi wa mpango, uzazi wa mpango ni njia za kupanga uzazi Ili kupata idadi ya watoto unaohitaji Soma Zaidi...

image Huduma kwa wanawake wenye mahitaji maalum.
Posti hii inahusu huduma kwa wanawake wenye mahitaji maalum, ni wanawake ambao wana shida ya akili, walionyanyaswa kijinsia, wakimbizi na wote wenye matatizo mbalimbali. Soma Zaidi...

image Watu walio hatarini kupata UTI
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya makunfi ya watu walio hatarini kupata UTI Soma Zaidi...

image Maumivu ya tumbo kwa chini upande wa kulia
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo chini upande wa kulia Soma Zaidi...

image Fahamu Ugonjwa wa Saratani ya seli nyeupe.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Saratani ambayo hutokea katika aina ya seli nyeupe ya damu inayoitwa seli ya plasma. Seli za plasma hukusaidia kupambana na maambukizo kwa kutengeneza kingamwili zinazotambua na kushambulia vijidudu. Pia husababisha seli za Saratani kurundikana kwenye uboho, ambapo husongamanisha seli za damu zenye afya. Badala ya kuzalisha kingamwili muhimu, seli za Saratani huzalisha protini zisizo za kawaida zinazoweza kusababisha matatizo ya figo. Soma Zaidi...

image Ushauri kabla ya kubeba mimba.
Posti hii inahusu zaidi ushauri kwa akina Mama na wachumba kabla ya kubeba mimba, kabisa ya kubeba mimba akina Mama na wachumba wanapaswa kufanya yafuatayo. Soma Zaidi...