mambo yanayofungua swaumu

post hii ijakwenda kukufundisha mambo yanayoharibu funga

mambo yanayoharibu funga

1. Kula na kunywa kwa makusudi

2. Kunuia kula hali ya kuwa umefunga

3. kujitoa manii kwa makusudi

4. kupata hedhi au nifasi

5. kujitapishaJe! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/04/05/Tuesday - 07:45:31 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 681


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-