MAMBO YANAYOPELEKEA UGUMBA.


image


Post huu inahusu zaidi mambo yanayopelekea ugumba kwa wanaume, ni mambo ambayo uchangia au upelekea mwanaume kukosa uzazi.


Mambo yanayopelekea mwanaume kukosa uzazi.

1. Maambukizi kwenye via vya uzazi , matumizi mabaya ya ngono zembe, hali hii utokea kwa sababu wadudu wakiingia kwenye via vya uzazi uharibifu kila kitu hasa mazalia ya mbengu na sehemu zinapitunzw kwa hiyo mbegu utoka huko zikiwa dhaifu na kushindwa kurutubisha yai kwa hiyo tunapaswa kutibu maambukizi ili kuepuka janga la ugumba.

 

2. Kutumia sana vileo kama vile bangi hasa marijuana, pombe kali sana, kuvuta sigara na mambo ya vileo vikali hali huu usababisha mbegu kushindwa kukomaa au vileo hivi uingilia sehemu za kuzalisha mbegu na mbegu hushindwa kukomaa kw hiyo kitendo cha kurutubisha yai huwa kugumu sana, kwa hiyo tunapaswa kuwaambia vijana ukweli hili waache tabia ya kuvuta bangi na vileo vikali ili kuepukana janga la ugumba.

 

3. Kutumia baadhi ya madawa kwa mda mrefu, kuna madawa ambayo yakitumika kwa mda mrefu usababisha kuaribika kwa mfumo wa kutengeneza uzazi kwa wanaume kwa mfano madawa yanayotumiwa na wagonjwa wa akili yakitumika kwa mda mrefu usababisha matatizo kwenye via vya uzazi kwa wanaume na hatimaye ugumba.

 

4. Magonjwa sugu yanapotokea kwa mda mrefu kama vile shinikizo la damu na presha. Kuna watoto wanaoza liwa na magonjwa haya au wengine utapata mapema , Magonjwa haya nayo usababisha  kuaribika kwa mfumo wa uzazi na hatimaye ugumba kwa hiyo tunapaswa kuepuka na kuwasaidia watoto wetu kuepuka Magonjwa haya kwa nyakati za mwanzoni.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    3 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    6 Maktaba ya vitabu    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Umuhimu wa asidi iliyokwenye tumbo( kwa kitaalamu huitwa HCL)
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa asidi iliyo kwenye tumbo kwa kitaalamu huitwa HCL, ni asidi inayofanya kazi nyingi hasa wakati wa kumengenya chakula. Soma Zaidi...

image Mkojo wa kawaida
Posti hii inahusu zaidi mkojo wa kawaida kwa kila mwanadamu na unavyopaswakuwa, mkojo wa kawaida kwa binadamu huwa na sifa zifuatazo. Soma Zaidi...

image Mambo ya kuzingatia kabla ya upasuaji,
Upasuaji ni kundi la ki medical linalohusu kutoa kiungo kisichohitajika kwenye mwili. Soma Zaidi...

image Madhara ya ugonjwa wa ukimwi kwenye jamii.
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea ikiwa Ugonjwa huu wa ukimwi ukishasmbaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine na kuleta madhara makubwa kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

image Dalili za macho makavu.
Posti hii inahusu zaidi njia za kutambua Dalili za macho makavu, kama tulivyotangulia kuona kubwa macho kuwa makavu Usababishwa na sehemu ya kuzalisha maji kwenye jicho kushindwa kufanya kazi na jicho hilo huwa kavu na Dalili zake ni kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

image Ugonjwa wa upele na matibabu yake
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa upele na matatibabu yake, ni ugonjwa unaosabavishwa na mdudu kwa kitaalamu huitwa mites sarcoptes scrabie mdudu huyu usababisha miwasho kwenye ngozi. Soma Zaidi...

image Huduma kwa mtoto mdogo anayeumwa
Mtoto mdogo ni mtoto chini ya miaka mitano, yaan kuanzia pale anapozaliwa mpaka anapafikisha miaka mitano Soma Zaidi...

image Fahamu Ugonjwa wa kisukari aina ya 1 (type 1)
Kisukari cha Aina ya 1, ambacho wakati mmoja kilijulikana kama Kisukari cha changa au Kisukari kitegemeacho insulini, ni hali sugu ambapo kongosho hutoa insulini kidogo au haitoi kabisa, homoni inayohitajika kuruhusu sukari (glucose) iingie kwenye seli ili kutoa nishati. Soma Zaidi...

image Mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa wagonjwa walioingiliwa na uchafu puani.(foreign body).
Posti hii inaelezea kuhusiana na dalili na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa mgonjwa alieye ingiwa na uchafu puani (foreign body) Soma Zaidi...

image Tatizo la damu kutokufikia tishu baada ya kutokea jeraha kwenye tishu (gangrene)
Posti hii inazungumzia kuhusiana na tatizo la damu kutokufikia tishu baada ya kutokea jeraha kwenye tishu ambao hujulikana Kama gangrene inahusu kifo cha tishu za mwili kutokana na ukosefu wa mtiririko wa damu au maambukizi ya bakteria. Ugonjwa wa gangrene huathiri sehemu za mwisho, ikiwa ni pamoja na vidole vyako vya miguu, vidole na miguu, lakini pia unaweza kutokea kwenye misuli yako na viungo vya ndani. Soma Zaidi...