Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo yanayoweza kusababishwa mgongo wAko au kiuno kwa na maumivu, Mgongo ukiwa na maumivu makali Sana yanaweza kusababishwa shida kubwa ata utakapokaa au ukilala au ukitumia bado maumivu yanakuwepo.
Je na wewe Ni miongoni mwa watu wanaosumbuliwa na maumivu ya kiuno au mgongo?
Yafuatayo Ni mambo yanayosababisha kiuno au mgongo kuwa na maumivu.
1.kufanya kazi ya kukaa muda mrefu, Kama vile kusafiri safiri, kufanya kazi za komputa, kunyonyesha na kazi nyingine nyingi huweza kufanya mtu kupata maumivu makali ya mgongo na haya kwenye kiuno.
2.kuinama Sana ; hii pia hupelekea misuli ya mgongo kuchoka kutokana na kuinama Sana labda kudeki, kufyeka, na kazi nyingine ambazo utazifanya Mara kwa Mara na kwa muda mrefu huweza hupelekea maumivu.
3. Kubeba vitu vizito; Kama magunia ya mahindi, Michele, sukari n.k au kubeba vitu vizito bado wewe mdogo kinakuzidi nguvu huanzia mauvimi kwenye mshipa wa shingo mpaka mgongo na kwenye kiuno pia kwahiyo hushauri kubeba au kupambaa na vitu vizito ambavyo vinaweza kukusababishi madhara.
4.kulala kwenye godoro ambalo Lina mabonde au godoro ambalo ukilala unaumia pia hii huchangia endapo utalala Mara kwa Mara au kila siku hivyo basi epuka ujutahidi kulala sehemu nzuri ili kulinda afya ya mwili wako.
5.kuwa na uzito mkubwa uliopitiliza ;nayo Ni moja wapo ya sababu inayopelekea maumivu ya mgongo na kiuno kwani viungo vya mwili huwa legevu.
Mwisho ; endapo utapata maumivu ya kiuno na mgongo kwa mdamrefu bila kupona Ni vyema kumwona dactari mapema ili kuweza kupata matibabu na kuilinda afya yako pia.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Hapa nitakueleza namna ambavyounaweza kupunguza hatari ya kupata maradhi ya ini. Kwa njia hizi unaweza kujikina wewe na wengineo na maradhi haya hatari ya ini.
Soma Zaidi...Malaria husababishwa na vimelea (parasite) ambavyo husambazwa ama kubebwa na mbu aina ya anopheles.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyanzo m ali mbali vinavyohisiwa kuwa chanzo cha UKIMWI
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukutajia baadhi tu ya sababu zinazopelekea kuumwa na tumbo. Hali hizi zinawweza kuwapata watu wa jinsia zote katika umri wowote ule. Ijapokuwa nyingine si kwa wote ni kwa baadhi ya watu. hapa nitakuletea sababu 5 tu.
Soma Zaidi...Je unasumbuliwa na tatizo la kukosa nguvu, kuchoka ama kuhisi viungi vinelegea. Endelea na post hii.
Soma Zaidi...Jipu la jino ni mfuko wa usaha unaosababishwa na maambukizi ya bakteria. Jipu linaweza kutokea katika maeneo tofauti ya jino kwa sababu tofauti.
Soma Zaidi...Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces, hawa ni fangasi wanaosababisha maradhi yajulikanayo kama blastomycosis.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi mtu aliyekula chakula chenye sumu, chakula chenye sumu ni chakula ambacho kikitumiwa na mtu yeyote kinaweza kuleta madhara kwenye mwili wa binadamu hata kifo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi namna ya kuzuia ugonjwa wa madonda ya koo,ni njia ambazo usaidia katika kujikinga na ugonjwa wa madonda ya koo.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu maumivu ya tumbo kitovuni
Soma Zaidi...