Mambo yanayosababisha kuharisha
Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kuharisha, kuharisha ni kitendo Cha kupitisha kinyesi Cha maji chenye damu au kisichokuwa na damu
Mambo yanayosababisha kuharisha
1. Virusi ambavyo umuingia mtu kwa njia tofauti
2. Bakteria ambao uungia ndana ya mwili wa mtu
3.parasite wanaoingia kwenye utumbo
4.utumbo mdogo kushindwa kusambaza chakula kwenye mwili
5. Kubadilika kwa homoni mwilini mfano,sukari
6. Ugonjwa wa Kansa, hasa wale wenye Kansa ya tumbo
7. Maambukizi kwenye tumbo.
Baada ya kujua mambo yanayosababisha kuharisha inabidi kuchukua hatua kama ifuayavyo
- kuosha mikono baada ya kutoka chooni
- kuosha mikono kabla ya kuandaa chakula
- kufanya vipimo mara kwa mara Ili kujua maendeleo ya afya yako
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 web hosting
Post zinazofanana:
Ugonjwa wa kuporomoka kwa mapafu (pneumothorax)
Posti hii inazungumzia Ugonjwa wa mapafu ambao hujulikana Kama pafu lililoporomoka (Pneumothorax) hutokea wakati hewa inavuja kwenye nafasi kati ya mapafu yako na ukuta wa kifua. Hewa hii hutoka nje ya pafu lako. Ugonjwa huu unaweza kusababishwa na jera
Soma Zaidi...Dalilili za pepopunda
postii hii inshusiana na dalili na matatizo ya pepopunda. Pepopunda ni ugonjwa hatari wa kutishia maisha unaosababishwa na sumu ya tetanospasmin inayozalishwa katika majeraha yaliyoambukizwa na kizuizi cha bacillus clostridia. Bakteria ya pepopunda hu
Soma Zaidi...Madhara ya kutotibu ngiri.
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea pale ambapo Ugonjwa wa ngiri unaposhindwa kutibiwa mapema.
Soma Zaidi...Matumizi ya dawa za kulevya na athari zake kwenye ubongo.
Dawa za kulevya hazibadili tu tabia ya mtu, bali zinasababisha mabadiliko ya kudumu kwenye muundo na utendaji kazi wa ubongo. Makala haya yanachambua jinsi dawa hizi zinavyoiba mfumo wa furaha wa ubongo (reward system), na jinsi matumizi yake yanavyoweza kusababisha madhara ya kiakili na kimwili ambayo ni vigumu kuyatengua.
Soma Zaidi...Dalili na Ishara za upungufu wa muunganisho wa macho.
posti hii inaonyesha dalili za upungufu wa muunganisho wa macho. Upungufu wa muunganisho hutokea wakati macho yako hayafanyi kazi pamoja unapojaribu kuangazia kitu kilicho karibu nawe. Unaposoma au kutazama kitu kilicho karibu, macho yako yanahitaji k
Soma Zaidi...Dalili za PID kwa wanawake
Kipindi cha baada ya yai kuachiliwa (ovulation) hadi kufikia tarehe ya hedhi inayofuata hujulikana kama Luteal Phase. Hapa ndipo wanawake wengi wanaotafuta ujauzito huanza kuchunguza mabadiliko ya miili yao. Makala haya yanajadili dalili za mapema za mimba zinazoweza kujitokeza siku chache baada ya ufertilishaji, jinsi ya kutofautisha dalili hizi na zile za hedhi ya kawaida (PMS), na ukweli wa kitaalamu kuhusu lini unapaswa kupima mimba
Soma Zaidi...