image

Mambo yanayosababisha kupona kwa vidonda.

Posti hii inahusu mambo yanayochangia katika kupona kwa kidonda, ni mambo ambayo yapo kwa mgonjwa mwenyewe kama ifuayavyo.

Mambo yanayosababisha kupona kwa vidonda.

1. Kiasi au kiwango Cha kidonda.

Kwa kawaida kidonda kikiwa kikubwa uponaji wake uchelewa ukiulinganisha kama kidonda ni kidogo na uponyaji wake uwahi hii ni kwa sababu kidonda kikiwa kikubwa labda na wadudu waliopo ni wengi kuliko kidonda kidogo uwa na wadudu wachache na utunzaji wa kidonda kikubwa ni shida kuliko utunzaji wa kidonda kidogo huwa ni afadhari kwa hiyo kiasi Cha kidonda usaidia kupona haraka kwa kidonda hicho.

 

2. Mlo wa mgonjwa wa kidonda usaidia kidonda kupona kwa sababu. 

Mgonjwa wa kidonda kama anatumia mlo kamili kama vile  kiasi kikubwa Cha vyakula vya protein,  kiasi Cha kutosha kwa vitamini C kiwango Cha kupona kwa vidonda ni kwa urahisi ukiulinganisha na mtu ambaye mlo wake ni wa kubabaisha kwa hiyo tunajua kabisa kuwa chakula Bora ni dawa kwa hiyo tunapaswa kula vyakula mbalimbali ambavyo vinaongeza kinga mwilini Ili pale tunaposhambuliwa na vidonda tuweze kupona haraka na kurudia kwenye hali zetu za kawaida.

 

3.umri wa mgonjwa.

Umri wa mgonjwa nao pia uchangiwa katika uponyaji wa vidonda, kama ni mtoto atachukua mda mfupi tu kupona kwa sababu seli zake zinazalishwa kila mara na viungo vyake bado vinafanya kazi vizuri kuliko Mzee, lakini kama ni mzee kupona kwake kitakuwa ni shida kwa sababu kiasi Cha seli zinazokufa ni nyingi kuliko zile zinazozalishwa au pengine seli zinazozalishwa na kufa ni sawa kuliko kwa mtoto ambaye seli zinazaliana ni nyingi zile zinazoharibika.

 

4. Kuwepo kwa Magonjwa.

Kuwepo kwa magonjwa mengine kwa mtu Mwenye kidonda usababisha kidonda kupona kwa mda mrefu kuliko mtu yule ambaye Hana magonjwa, kwa mfano  mgonjwa wa kisukari utumia mda mrefu kupona kwa sababu ya kuwepo kiwango Cha sukari nyingi kwenye damu.kuliko mtu ambaye Hana ugonjwa wa kisukari upona mapema zaidi kwa sababu ya kuwepo kwa sukari ya kawaida kwenye mwili.

 

5. Sehemu ambapo kidonda kipo.

Kidonda kama kipo sehemu za miguuni, kwenye kucha, na sehemu ambazo ni rahisi kuwepo kwa uchafu kupona kwa kidonda uchelewa kuliko kama kidonda kipo kwenye sehemu za usoni ambapo ni rahisi kusafisha.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1768


Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Umuhimu wa uterusi
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa uterusi, ni mfuko unayosaidia kumtunza mtoto akiwa tumboni mwa mama yake. Soma Zaidi...

HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYENG’ATWA NA NYUKI
Kung’atwa na nyuki kunaweza kukahitaji huduma ya kwanza kwa haraka kama mgonjwa ana aleji na nyuki. Soma Zaidi...

Kazi ya chanjo ya kifua kikuu
Posti hii inahusu kazi ya chanjo ya kifua kikuu kwa kitaalamu huitwa BCG. Ni chanjo ambayo uzuia kifua kikuu na ukoma. Soma Zaidi...

Zijue kazi za ovari
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa ovari kwenye mwili wa mwanamke. ovari ni sehemu ambapo mayai ya mwanamke hutunza, kwa hiyo kila mwanamke huwa na ovari ambayo husaidia kutunza mayai. Soma Zaidi...

Upungufu was fati
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu was fati Soma Zaidi...

Njia za kukabiliana na minyoo
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na minyoo Soma Zaidi...

Jinsi moyo unavyosukuma damu
Post hii inahusu zaidi jinsi moyo unavyosukuma damu, moyo ni ogani ambayo usukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili. Soma Zaidi...

Ambao hawapaswi kupata chanjo
Posti hii inahusu zaidi watu ambao hawapaswi kupewa chanjo, hawa ni wale ambao wana hali tofauti na ikitokea wakapata chanjo wanaweza kupata madhara badala ya kuwasaidia. Soma Zaidi...

Zijue sababu za chakula kushindwa kumengenywa kwenye tumbo.
Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali za chakula kushindwa kumengenywa kwenye tumbo,ni sababu mbalimbali hasa za kiafya kama tutakavyoona hapo mbeleni Soma Zaidi...

Madhara ya kutotibu magonjwa ya vidonda vya tumbo
Post hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu magonjwa ya vidonda vya tumbo, ni hatari inayotokea kwa mtu ambaye haujatibiwa vidonda vya tumbo. Soma Zaidi...

Ntajilinda vipi na magonjwa ya meno
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda na magonjwa ya meno Soma Zaidi...

Namna ya kujikinga na kifua kikuu
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuzuia au kujikinga na kifua kikuu, hizi ni njia ambazo utumika ili kujikinga na kifua kikuu Soma Zaidi...