Mambo yanayoweza kudhoofisha kinga ya mwili
Kinga ya mwili inapodhoofu mwili unakuwa hatarini kupata maradhi. Je unayajuwa mambo yanayodhoofisha kinga ysbmeili?
Hapa niakuorodheshea tu baadhi ya mambo ambayo huchangia kudhoofisha kinga ya mwili wako: -
1. Maradhi kwa mfano saratani, VVU na UKIMWI kisukari na hemophilia. Maradhi hayabhuchangia sana kudhoofisha kinga ya mwili
2. Matumizi ya baadhi ya dawa. Kwa mfano endapo utatumia dawa kiholela bila ya kufuata maelekezo kutoka kwa wataalamu. Ama kuna aina flani za dawa zinapotumika hudhoofisha kinga ya mwili.
Kwa nfano immune suppressor dawa hizi hupewa watu ambao wamebadilishiwa viungo vyao na kupewa vya watu wengine.
3. Umri, kinga yabmeili pia huenda na na umri. Kwa mfano mtoto anapozaliwa anakuwa na kinga dhaifu ya mwili. Pia wazee sana kinga zao za mwili huwa dhaifu kulinganisha na vijana.
5. Lishe na vyakula. Vyakula vina nafasi kubwa katika kulinda afya ya mtu. Hata katika hali ya kawaida utaona mtu asiyekula vizuri yupo hatarini. Tunaposema kula vizuri haimaanishi kushiba inamaanisha kula chakula chenye virutubisho.
Kila aina ya chakula ina virutubisho vyake na kila virutubisho vina kazi yake. Endapo utakosea virutubisho fulani inaweza ku athiri kinga ya mtu. Kwa mfano vyakula vya vitamini hulinda mwili dhidi ya maradhi. Hivyo ukivikosa inaweza athiri afya.
6. Misongo ya mawazo (stress and depression). Ni kweli kabisa msongo wa mawazo unadhoofisha kinga yabmeili wako. Ni rahisi kupata mashambulizi ya maradhi ukiwa katika hali ya misingi ya mawazo.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Huduma ya kwanza kwa mtu aliyeng,area na wadudu
Posti hii inahusu zaidi huduma ya kwanza kwa mtu aliyengatwa na wadudu. Wadudu ni viumbe vidogo ambavyo hukaa sehemu mbalimbali kama vile kwenye miti na sehemu kama hizo
Soma Zaidi...Zijue kazi za chanjo ya DTP au DPT (Donda Koo,Pepopunda, na kifaduro))
Posti hii inahusu zaidi kazi ya chanjo ya DTP au DPT ambayo Inazuia magonjwa ya Donda Koo, Pepopunda na kifaduro.
Soma Zaidi...Ambao hawapaswi kupata chanjo
Posti hii inahusu zaidi watu ambao hawapaswi kupewa chanjo, hawa ni wale ambao wana hali tofauti na ikitokea wakapata chanjo wanaweza kupata madhara badala ya kuwasaidia.
Soma Zaidi...Faida za chanjo
Posti hii inahusu zaidi faida ya chanjo, tunajua wazi kuwa chanjo Ina faida kubwa kwenye mwili wa binadamu na vile vile kwenye jamii kama tutakavyoona hapo chini.
Soma Zaidi...Namna ya kumsaidia mgonjwa aliye na Maambukizi kwenye milija na ovari
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia wagonjwa waliopata maambukizi kwenye milija na ovari, ni wagonjwa waliopata maambukizi kwenye milija na ovari.
Soma Zaidi...Huduma kwa mtoto mdogo anayeumwa
Mtoto mdogo ni mtoto chini ya miaka mitano, yaan kuanzia pale anapozaliwa mpaka anapafikisha miaka mitano
Soma Zaidi...