Maneno mazuri mbele ya mwenyezi Mungu
kuna adhkari nyingi sana ambazo Mtume wa Allah ametutaka tuwe tunadumu nazo. lajkini kuna adhkari ambayo imekusanya maneno matukufu na yanayopendwa sana na Allah.
Imepokewa Hadithi kutoka kwa Abu Hurairah kuwa MtumeS.A.W amesema:
" ÙƒÙŽÙ„Ùمَتَان٠ØÙŽØ¨Ùيبَتَان٠إÙÙ„ÙŽÙ‰ الرَّØÙ’Ù…ÙŽÙ†ÙØŒ خَÙÙÙŠÙَتَان٠عَلَى Ø§Ù„Ù„Ù‘ÙØ³ÙŽØ§Ù†ÙØŒ ثَقÙيلَتَان٠ÙÙÙŠ الْمÙÙŠØ²ÙŽØ§Ù†Ù Ø³ÙØ¨Ù’ØÙŽØ§Ù†ÙŽ Ø§Ù„Ù„Ù‘ÙŽÙ‡Ù ÙˆÙŽØ¨ÙØÙŽÙ…Ù’Ø¯ÙÙ‡ÙØŒ Ø³ÙØ¨Ù’ØÙŽØ§Ù†ÙŽ Ø§Ù„Ù„Ù‘ÙŽÙ‡Ù Ø§Ù„Ù’Ø¹ÙŽØ¸Ùيم٠" .
“Maneno mawili yanayopendwa na Mwingi wa Rehema, mepesi katika ulimi, mazito katika mizani, maneno haya ni kusema " Subhan Allah wa-bi hamdihi'' na''Subhan Allah Al-`Azim."
"Ametakasika Mwenyezi Mungu, na sifa njema ni zake.” (BUKHARI)
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 ai web app 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 web hosting 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
TOFAUTI KATI YA MAKATOZO NA MAAMRISHO KATIKA SUNNAH
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ عَبْدِ الرَّحْمَنِ بْنِ صَخْرٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: سَمِعْت رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم يَقُولُ: "م...
Soma Zaidi...Zijuwe funga za kafara na jinsi ya kuzigunga
Post hii itakufundisha kuhusu funga za kafara, zinavyotokea na na jinsi ya kuzifunga.
Soma Zaidi...