Menu



Maswali juu ya dini anayostahiki kufuata mwanadamu

Dini anayostahiki kufuata mwanadamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Zoezi la 1.

  1. (a)  Nini maana ya Dini.

(b) Dini sahihi ni lazima imfikishe mwanaadamu katika kufikia lengo la kuumbwa kwake. Ainisha sifa za dini sahihi inayostahiki kufuatwa na mwanaadamu.

  1. Mwanaadamu pamoja na ujuzi alionao, hawezi kujiundia mfumo (dini) sahihi wa maisha. Thibitisha kauli hii kwa hoja tano tu.

 

  1. (a)  Bainisha nyezo kuu anazozitumia mwanaadamu katika kujielimisha na madhifu yake.

(b)  Nini maana ya kusimamisha Uislamu katika jamii?

  1. Mwanaadamu pamoja na kudai kutofuata dini yeyote, bado hawezi kuepukana nayo. Eleza ni kwanini dini kwa mwanaadamu ni jambo lisilobudi.

 

  1. Jihad ni jambo la muhimu katika kuupatia Uislamu heshima yake ndani ya jamii. Thibitisha umuhimu wa jihad katika kuusimamisha Uislamu.

 

  1. Ainisha matunda yatakayopatikana kwa Uislamu kusimama na kuongoza maisha ya jamii.

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass

Nyuma Endelea

Ndio     Hapana     Save post
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Tawhid Main: Post File: Download PDF Views 1564

Share On:

Facebook WhatsApp

Post zinazofanana:

Maana ya uislamu.

Kwenye kipengele hichi titajifunza maana ya uislamu,na maana nyingine tofauti.

Soma Zaidi...
Maswali juu ya nguzo za Imani

Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...
Athari za kumuamini mwenyezi Mungu katika maisha ya kila siku

Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...
Himizo la kuwasamehe waliotukosea

“Na wasiape wale wakarimu na wenye wasaa miongoni mwenu, kujizuia kuwasaidia jamaa zao, maskini na wale waliohama kwa ajili ya Dini ya Allah; na wasamehe na waachilie mbali (wapuuze yaliyopita).

Soma Zaidi...
Maamrisho ya kushikamana nayo

Yale tunayoamrishwa kushikamana nayo ni haya yafuatayo: (i)Kumuabudu Allah (s.

Soma Zaidi...
UMBILE LA MBINGU NA ARDHI

“Katika kuumbwa mbingu na ardhi na mfuatano wa usiku na mchana,ziko alama (hoja) za kuonyesha kuwepo Allah (s.

Soma Zaidi...
Kujiepusha na maringo na majivuno

Maringo, majivuno, majigambo, dharau ni vipengele vya kibri.

Soma Zaidi...
Mtazamo wa uislamu juu ya dini

Kwenye kipengele hichi tutajifunza mitazamo ya kikafiri juu ya dini.

Soma Zaidi...
NGUZO ZA IMANI

Tunajifunza katika Qur-an na hadithi sahihi kuwa Imani ya Kiislamu imejengwa juu ya nguzo sita zifuatazo:1 Kumuamini Allah (s.

Soma Zaidi...