image

Maswali juu ya hadithi

Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya)

Zoezi la 6.

  1. (a)  Nini maana ya Hadith kilugha na kisheria.

(b)  Eleza kwa muhtasari maana ya maneno yafuatayo:

    (i)  Matin (ii)  Isnad   (iii)  Riwaya   (iv)  Hadith Qudussiyu. (v)  Hadith Ahad.

  1. (a)  Wakati wa Mtume (s.a.w), hapakuwepo na uandishi wa Hadith. Toa sababu tano.

(b)  Ni sababu zipi zilizopelekea uandishi wa Hadith kuwa na hitajio kubwa katika kipindi cha Maswahaba?

  1. (a)  Taja vitabu viwili vilivyoandikwa pamoja na waandishi wake katika kipindi cha Maswahaba.

(b) (i) Orodhesha maimamu wanne mashuhuri waliojitokeza kwa uandishi wa    Hadith katika kipindi cha Tabi’ina.

    (ii)  Taja majina ya Vitabu viwili na maimam walivyoviandika katika kipindi cha Tabi’ina.

  1. Bainisha kwa muhtasari maimam sita waliojitokeza katika kipindi cha Tabi’i Tabi’ina.
  2. Eleza kwa ufupi yafuatayo;

(a)  Al-Qatadaya    (b)  Al-Muwattah  (c)  Hadith Nnabawwi  (d)  Hadith Mutawattir.

 

  1. (a)  Maimam sita walioandika “Sahihu Sitta”, vitabu vyao vinamadaraja tofauti ya usahihi wa Hadith. Changanua madaraja hao kutokana na usahihi wa Hadith.

(b)  Ni yapi masharti yaliyotumika katika kuhakiki usahihi wa Hadith?

      (c)  Bainisha aina kuu za Hadith.





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2143


Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

jamii somo la 35
Hutekeleza ahadi zao wanapoahidiana na wanaadamu wenziwao maadamu ni katika mipaka ya Allah (s. Soma Zaidi...

Majina ya vijana wa pangoni
Makala hii inakwenda kukutajia majina ya vijana saba wa pangoni Soma Zaidi...

Epuka kukata tamaa, na yajuwe madhara ya kukata tamaa
37. Soma Zaidi...

Neno la awali
Asalaamu alykum warahmatullah wabarakaatuh Sifanjema zinamstahikia Allah Mola wa viumbe, muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo. Soma Zaidi...

quran na sayansi
QURANI KATIKA ZAMA ZA SAYANSI NA TEKNOLOJIAAsalaalaamu alykum warahmatullah wabarakaatuh. Soma Zaidi...

sura ya 02
Jifunze namna ya kusoma quran, pata mafunzo ya tajwid hapa Soma Zaidi...

Kuwa na mwenye haya, na faida zake
24. Soma Zaidi...

Zoezi la 3
Kipengele hichi kina maswali mbalimbali kuhusiana na dini na mitazamo mbalimbali. Soma Zaidi...

quran na sayansi
Soma Zaidi...

Zoezi la 5
Maswali mbalimbali kuhusu fiqih Soma Zaidi...

kuwa mwenye huruma na faida zake
25. Soma Zaidi...

Sifa za wanafiki zilizotajwa katika surat Al-Imran
Na kuwapambanua wale waliokuwa wanafiki. Soma Zaidi...