Maswali juu ya Mambo anayopaswa kufanyiwa maiti ya muislamu

Maswali juu ya Mambo anayopaswa kufanyiwa maiti ya muislamu

Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Zoezi la 3.

  1. Bainisha mambo manne ya msingi kufanyiwa muislamu mara tu baada ya kufa.
  2. Bainisha tofauti kati ya sanda ya;

(a)  Maiti ya mwanamke.

(b)  Maiti ya mwanaume.

(c)  Maiti ya toto.

  1. (a)  Taja nguzo za kuosha maiti.

(b)  Taja sehemu zinazofaa kutumika katika kuoshea maiti.

(c)  Ni zipi sifa za muosha maiti?

  1. Eleza hatua kwa hatua namna ya kumuosha maiti wa Kiislamu.
  2. Ni mambo gani maiti ya shahidi haitakiwi kufanyiwa? Taja mambo matatu.
  3. Fafanua ni kwa vipi unaweza kuandaa sanda ya maiti wa kike na kumkafini.
  4. Taja tofauti kati ya swala ya kumswalia maiti na swala ya kawaida.
  5. (a)  Ni yapi masharti ya kuswaliwa maiti wa Kiislamu?

(b)  Orodhesha nguzo za swala ya maiti.

  1. (a)  Eleza hatua kwa hatua namna kutekeleza swala ya maiti.

(b)  Taja mambo manne yaliyoharamishwa kufanyiwa kaburi.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Fiqh Main: Post File: Download PDF Views: 3705

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 kitabu cha Simulizi     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zinazofanana:

Umuhimu wa funga ya ramadhan

Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...
Maneno mazuri mbele ya mwenyezi Mungu

kuna adhkari nyingi sana ambazo Mtume wa Allah ametutaka tuwe tunadumu nazo. lajkini kuna adhkari ambayo imekusanya maneno matukufu na yanayopendwa sana na Allah.

Soma Zaidi...