MASWALI KUHUSU NJIA ZA KUMJUA MWENYEZI MUNGU


image


Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu


 

 

Zoezi la 1.

(a) Bainisha njia kuu tano zinazomuwezesha mwanaadamu kumtambua Muumba  

            wake.

(b)  Taja nguzo za Imani kwa mtiririko wake.

 

(a)  Orodhesha Vitabu vilivyotajwa ndani ya Quran pamoja na Mitume    

             walioteremshiwa kwayo.

      (b)  Eleza, kwa nini Vitabu hivyo vimetajwa ndani ya Quran? 

 

Ainisha sifa za Mitume wa Mwenyezi Mungu (s.w) kama ulivyojifunza katika somo hili.

 

Nafasi ya mwanaadamu imetofautiana sana na viumbe wengine, bainisha ni vitu au sifa gani zinazomtofautisha mwanaadamu na viumbe wengine.

 

Onyesha majukumu makuu ya kuletwa Mitume wa Mwenyezi Mungu (s.w) hapa Ulimwenguni.

 

Maisha baada ya kufa ni jambo lisilobudi kwa kila mwanaadamu, taja kwa mpangilio hatua za maisha ya mwanaadamu katika kuelekea maisha ya Akhera.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    2 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    3 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    4 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    5 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Fiqh.
Kipengele hichi tutajifunza chimbuko la fiqh na maana ya figh. Soma Zaidi...

image Mgawanyo wa elimu usiokubalika katika uislamu
Mgawanyo wa elimu usiokubalika katika uislamu Ni upi? (EDK form 1: mgawanyo wa elimu usiokubalika katika uislamu) Soma Zaidi...

image Kumkafini (kumvisha sanda maiti)
Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Zoezi la nne mada ya fiqh.
Maswali mbalimbali kuhusu fiqh. Soma Zaidi...

image Maswali juu ya Nguzo za uislamu
Nguzo za uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Uendeshaji wa dola ya uislamu madinah
Dola ya uislamu madinah (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Lengo la hijjah na matendo ya ibada ya hijjah na mafunzo yatokanayo
Nguzo za uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Mafunzo ya hadithi zilizochaguliwa
Sunnah na hadithi (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Sunnah za funga ya ramadhan
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Maswali juu ya mtazamo wa uislamu kuhusu dini
Mtazamo wa uislamu kuhusu dini (EDK form 2:dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...